Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? πŸ€”

Usalama wa taifa wakutakie nini kutwa upo majukwaa haya ya MMU

Kama ni kweli umeombwa namba PM ukaja kuuliza jukwaani utakuwa una shida sehemu
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Watakuwa wamekosa kazi kwakweli.
 
Si utakua mchepuko au
Wowww sawa kabisa ntakuwa mchepuko wako. Usini bluetick sasa 😊😊.

😘😘😘😘❀️
 
Usalama wa taifa wakutakie nini kutwa upo majukwaa haya ya MMU

Kama ni kweli umeombwa namba PM ukaja kuuliza jukwaani utakuwa una shida sehemu
Kuna matatizo ya akili, delusional disorder, inaitwa persecution complex.

Yani mtu mara zote anaona anawindwa, anaona kuna watu wanamtafuta. Kwenye simu hataki kuongea anaogopa watu wanamsikiliza. Nyumbani kwake anasema kuna sehemu serikali imeweka vifaa vya kumnasa sauti.



Persecutory: People with this type of delusional disorder believe someone or something is mistreating, spying on or attempting to harm them (or someone close to them). People with this type of delusional disorder may make repeated complaints to legal authorities.
 
Duuuh aseee Shukran ngoja niisome in deep πŸ‘πŸ‘
 
Nirushie hiyo namba na miye nipatwe na sintofahamu
 
Usijali Hela unazo[emoji1751]
Zipo mamii ila sio za kukununulia gari

Nina za (kula, na nauli ya daladala) tu.

We unataka hela gani kwanza tuanzie hapo.

A. 100,000 - 1M
B. 1M - 10M
C.10M - 100M
D. 100M - 1B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…