Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Wewe ni mshamba, nimeombwa namba na
Mwanamke tumeonana siku hiyo hiyo, ila yuko busy sana. Juzi kanichatisha kidogo anakoelekea nimejiongeza ili safari iwe fupi.
Naamini tutafika. Wewe endelea kuleta uvulana wako huku.
Aisee ngoja tuone
 
Pita nae tu huyo kajileta kulingana na maelezo yako kashakufatlia anajua Id zako zote huoni kuwa kashapiga hatua fulani kwenye kukuhtaji usiwaangushe wanaume wenzio mkuu 😀😀
 
Pita nae tu huyo kajileta kulingana na maelezo yako kashakufatlia anajua Id zako zote huoni kuwa kashapiga hatua fulani kwenye kukuhtaji usiwaangushe wanaume wenzio mkuu 😀😀
Aiseee hatari sana mkuu
 
Usalama wa Taifa hata akiwa likizo ya mapumziko hawezi kupata muda wa kukufuatilia ww
 
Mahusiano sasa hivi ni business, nipe nikupe, hakuna zali siku hizi, ni kulipa bill tu. Ukitafutwa, jua unatakiwa kulipa bill.
 
Za usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi

Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu?

Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu.

Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono isiyo sahihi ukute ni usalama wa taifa huko au ni mtu fulani katumwa anyway na technologia ilivyokuwa 😁😁😁.

Pamoja na baadhi ya maadui niliojitengenezea humu ndani hilo sioni kama ni jambo jema namba zangu kumfikia stranger.

Swali? Hivi wanawake nao wanaombaga namba au mimi ni mshamba kama mshamba_hachekwi maana huyu dogo ana utoto mwingi 🤣🤔

Naombeni ushauri nimpe au nisimpe??

NB: nina njaa ya mahusiano pia 😎😎
Unjkaa ya mahusiano 🤣🤣🤣 kwamba kuombwa namba na Dem ndio chakula aya mpe mm Niko pale nimekaa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom