Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Za usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi

Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu????.

Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu.

Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono isiyo sahihi ukute ni usalama wa taifa huko au ni mtu fulani katumwa anyway na technologia ilivyokuwa 😁😁😁.

Pamoja na baadhi ya maadui niliojitengenezea humu ndani hilo sioni kama ni jambo jema namba zangu kumfikia stranger.

Swali?? Hivi wanawake nao wanaombaga namba au mimi ni mshamba kama mshamba_hachekwi maana huyu dogo ana utoto mwingi 🤣🤔

Naombeni ushauri nimpe au nisimpe??

NB: nina njaa ya mahusiano pia 😎😎
Hahah mpe tu mkuu
 
Nimeombwa namba hapa na Mama mwenye nyumba sijamwelewe kabisa, afu ni mama mtu mzima [emoji23][emoji23][emoji23].

Hii dunia hii ishakuwa lugha gongana, ngoja nione ataifanyia kazi gani hiyo namba.

Binafsi nimempa mi sio mchoyo wa namba.
 
Kaa chonjo mkuu.
 
Za usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi

Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu?

Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu.

Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono isiyo sahihi ukute ni usalama wa taifa huko au ni mtu fulani katumwa anyway na technologia ilivyokuwa [emoji16][emoji16][emoji16].

Pamoja na baadhi ya maadui niliojitengenezea humu ndani hilo sioni kama ni jambo jema namba zangu kumfikia stranger.

Swali? Hivi wanawake nao wanaombaga namba au mimi ni mshamba kama mshamba_hachekwi maana huyu dogo ana utoto mwingi [emoji1787][emoji848]

Naombeni ushauri nimpe au nisimpe??

NB: nina njaa ya mahusiano pia [emoji41][emoji41]
Wewe ni mshamba, nimeombwa namba na
Mwanamke tumeonana siku hiyo hiyo, ila yuko busy sana. Juzi kanichatisha kidogo anakoelekea nimejiongeza ili safari iwe fupi.
Naamini tutafika. Wewe endelea kuleta uvulana wako huku.
 
Back
Top Bottom