Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? πŸ€”

Wewe ni mshamba, nimeombwa namba na
Mwanamke tumeonana siku hiyo hiyo, ila yuko busy sana. Juzi kanichatisha kidogo anakoelekea nimejiongeza ili safari iwe fupi.
Naamini tutafika. Wewe endelea kuleta uvulana wako huku.
Aisee ngoja tuone
 
Usalama wa taifa wakutakie nini kutwa upo majukwaa haya ya MMU

Kama ni kweli umeombwa namba PM ukaja kuuliza jukwaani utakuwa una shida sehemu
😁😁😁
 
Pita nae tu huyo kajileta kulingana na maelezo yako kashakufatlia anajua Id zako zote huoni kuwa kashapiga hatua fulani kwenye kukuhtaji usiwaangushe wanaume wenzio mkuu πŸ˜€πŸ˜€
 
Pita nae tu huyo kajileta kulingana na maelezo yako kashakufatlia anajua Id zako zote huoni kuwa kashapiga hatua fulani kwenye kukuhtaji usiwaangushe wanaume wenzio mkuu πŸ˜€πŸ˜€
Aiseee hatari sana mkuu
 
Usalama wa Taifa hata akiwa likizo ya mapumziko hawezi kupata muda wa kukufuatilia ww
 
Mahusiano sasa hivi ni business, nipe nikupe, hakuna zali siku hizi, ni kulipa bill tu. Ukitafutwa, jua unatakiwa kulipa bill.
 
Unjkaa ya mahusiano 🀣🀣🀣 kwamba kuombwa namba na Dem ndio chakula aya mpe mm Niko pale nimekaa 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…