Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? 🤔

Za usiku.
Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi

Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu?

Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu.

Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono isiyo sahihi ukute ni usalama wa taifa huko au ni mtu fulani katumwa anyway na technologia ilivyokuwa 😁😁😁.

Pamoja na baadhi ya maadui niliojitengenezea humu ndani hilo sioni kama ni jambo jema namba zangu kumfikia stranger.

Swali? Hivi wanawake nao wanaombaga namba au mimi ni mshamba kama mshamba_hachekwi maana huyu dogo ana utoto mwingi 🤣🤔

Naombeni ushauri nimpe au nisimpe??

NB: nina njaa ya mahusiano pia 😎😎
Mnapendaga sana kujua TISS ni watu gani na wanajishughulisha na nini eeh?! 🤔😊

Usalama hawana shida na namba yako, wakitaka details zako watakupata tu muda wowote... kaa ukijua system zote za nchi ziko chini yao na wanaweza kuzitembelea anytime wakitaka.

Huyo anataka aanze kuleta njaa tu
 
Back
Top Bottom