Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!
Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!
Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?
Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!
Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!