Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Wanaibaje Sasa ?...Arusha wanaiibia hadhi ya utalii mji wa msoma.
Kipi kimezuia Musoma isiwe na hiyo hadhi ?

Serikali.Wanaibaje Sasa ?...
Kipi kimezuia Musoma isiwe na hiyo hadhi ?
Kivipi?Serikali.
Sera zake na upelekaji wa maendeleo mara unasua sua mno.Kivipi?
Zanzibar nayo ishaa kupoteza asili. Wageni wanalalamika sana!Labda clock tower
Na Arusha kuitwa capital city of Tourism kwa East Africa ni kutokana na kuzungukwa na vivutio vikubwa zaidi upande huu mfano serengeti, mountain Kilimanjaro, Ngorongoro etc
Ukirudi kwenye masuala ya miji ya kiutalii kwa Tanzania ipo Zanzibar tu .. Huko kwingine sidhani, tusharidhika na pesa za mbuga ndio maana tukaona ni bora Arusha ipate kiwanja cha mpira na sio mega city parks ama zoo
Sio kweli...Sera zake na upelekaji wa maendeleo mara unasua sua mno.
Sasa kipi ukifika kinakuonesha umefika mji wa Utalii??The fact ndio jiji ambalo limezungukwa nq mbuga nyingi sana hiyo sio overrated
In fact siyo Musoma Bali ni Mugumu!Wanaibaje Sasa ?...
Kipi kimezuia Musoma isiwe na hiyo hadhi ?
Kwani hujui Serengeti ipo Arusha pia 😂 na Arusha haina mbuga 2 tu Kuna Arusha national park, Kuna Ngorongoro, Olduvai gorge, makuyuni wildlife park, oldonyo lengai, manyara national park lake manyara , tarangire, Kuna Mt Meru Bado Kuna ziwa eyasi na lake natron Yani Arusha utaipenda tu hata kwa fimbo😀Sio ngapi! Wanayo moja ambayo ni maarufu dunia nzima kuliko hzo mbili za arusha.
Mchawi huyo achana nae.Kwani hujui Serengeti ipo Arusha pia 😂 na Arusha haina mbuga 2 tu Kuna Arusha national park, Kuna Ngorongoro, Olduvai gorge, makuyuni wildlife park, oldonyo lengai, manyara national park lake manyara , tarangire, Kuna Mt Meru Bado Kuna ziwa eyasi na lake natron Yani Arusha utaipenda tu hata kwa fimbo😀View attachment 3287357
Kwa kwelKwanza arusha imezungukwa na vivutio kibao vya kitalii. Pili ukaribu wa Arusha na na Nairobi umerahisisha sana hilo kutokea. Naishia hapo kwa leo
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!
Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!
Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?
Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!
Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Kwa MlomboMapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!
Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!
Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?
Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!
Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Tunasubiri sijui bashite atakuja na tamasha gani tena la kipumbavuMapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo haw
apati majibu?Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!
Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!
Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?
Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!
Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!
Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!
Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?
Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!
Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Bashite ndo anawafanya arusha muonekane wapumbavu kabisa mbwa nyieThe answer is very simple, Makonda ni kitambulisho tosha
Maendeleo! watu wakiacha Mila mbovu za kukeketa imeishaSera zake na upelekaji wa maendeleo mara unasua sua mno.
Itakuwa hujui hata serengeti ipo mkoa ganiMusoma wana mbuga ngapi?
Kwahiyo huyu ndo yule jamaa anayesema "oya ma mtu una jero hapo kwenye halopesa yako unifosie mazingira"