Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

Labda clock tower

Na Arusha kuitwa capital city of Tourism kwa East Africa ni kutokana na kuzungukwa na vivutio vikubwa zaidi upande huu mfano serengeti, mountain Kilimanjaro, Ngorongoro etc

Ukirudi kwenye masuala ya miji ya kiutalii kwa Tanzania ipo Zanzibar tu .. Huko kwingine sidhani, tusharidhika na pesa za mbuga ndio maana tukaona ni bora Arusha ipate kiwanja cha mpira na sio mega city parks ama zoo
Serengeti iko mbali sana na Arusha
 
Yeah mkuu naelewa ipo Mara kwa kiasi kikubwa lakini kwa ilivyofanyiwa marketing, wengi wanadhani ipo Arusha kwa kiasi kikubwa
Sio marketing tu Iko Arusha na Mara kwa akili ya kawaida mara mkoa mdogo vile Serengeti inaweza kutoshea peke yake
 
Attachments

  • Screenshot_20250321-180807_1.jpg
    Screenshot_20250321-180807_1.jpg
    321.5 KB · Views: 31
Mnara wa saa, opposite to New Arusha Hotel... next to Postal Office...
Watu wanatafuta tu content braza
Mtoa mada uyu hakwenda Arusha kwa shughuli ya kiutalii ndo maana akaenda oftopic
Ukienda Arusha kwa shughuli isiyo ya kiutalii huwezi kuiona picha ya kitalii
Ila Akienda kama mtalii ndio atajua kwanini Arusha ni kitovu Cha utalii
 
Sio marketing tu Iko Arusha na Mara kwa akili ya kawaida mara mkoa mdogo vile Serengeti inaweza kutoshea peke yake
Mkuu, Serengeti inaunganika hadi Masai Mara kwa hiyo kuwa extended kwenye mikoa tofauti haiondoi uhalisia kuwa Serengeti inafikika kwa urahisi zaidi katika mkoa wa Mara kuliko Arusha kwa sababu kiuhalisia Serengeti ipo Mara geographically. Hizi sio guess work mkuu ila uhalisia ila kama una facts, nipo tayari kusahihishwa
 
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.

Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?

Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!

Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!

Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?

Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!

Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Matamasha Sheikh
 
Kwahiyo Indian ocean Iko India tu na sio Tanzania wala Kenya hizi ni pumba Gani unaandika😂 kawazuie hao wanyama basi wabaki Mara peke yake wasitembee
Kinachowauma nyie ni kwann watalii wanàpitia Arusha lakini hamjui kua route ya Arusha inampa mtalii choice ya kupita kwenye hifadhi nyingine kama manyara na Tarangire
Au ni ubinafsi wa kila mtu abakie na chake tukisema hivo sasa Arusha si itakua nchi 😂 hujui Ngorongoro tu peke yake inaingiza hela sawa na hifadhi zote za Tanapa zikiungana

Watalii wanapenda route ya Arusha kwa sababu unaona vivutio vingi njiani mtalii hajaja kufupisha njia kaja kutembea
Ile view tu ya rift Valley unayoiona ukitoka Manyara kuelekea Ngorongoro ni 5star alafu wewe unataka mtalii atokee Lamadi acheni hizo bhana
Hata ungekua mtalii wewe lazima ungeopt kupitia KIA kwanza ukishuka tu Airport unaona mlima Kilimanjaro then Meru hiyo hapo
Kingine msichojua hela yote inayokusanywa inaenda kwenye mfuko wa nchi na wala msijidanganye kwamba itaenda Arusha peke yake
 
Shida ni nini mkuu, mbona unaandika paragraphs na kutoa attacks ambazo zipo nje ya kitu tulichokizungumzia

Issue ni Serengeti kuwa mkoa wa Mara. Kama umekubaliana na hilo, attacks za nini
 
Issue ni Serengeti Iko Arusha na Mara na nmekuwekea hapo na Wikipedia ya Serengeti inasema Iko Arusha na Mara nyie mnataka mjimilikishe peke yenu si uzwazwa huo jina lenyewe Serengeti ni jina la kimasai 😂
 
Umeona hapo wameforce kuweka "northern Arusha Region" Ili mradi Arusha ionekane. Hiyo ndio marketing

Na kutumia wikipedia ambayo ni open source pasipo kutumia reference zinginezo. Itakiwa ni ukosefu wa uelewa

Kingine mimi ni mtanzania, Serengeti ikiwa Arusha au Mara kwangu ni sawa maana yote ni Tanzania. Shida inaweza kuwa kwako "Muarusha" ambaye unafurahia kuona Serengeti ikiwa Arusha kuliko Mara.

Guess what, SERENGETI GEOGRAPHICALLY IPO MARA ZAIDI NA SI ARUSHA. 🙏🏽

IMG_20250330_204452.jpg
 
View attachment 3288079
Unaruka ruka tu hata huelew unaongea nn😂
 
N
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.

Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?

Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!

Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!

Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?

Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!

Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Sehemu zote Nchini zenye kuingizia pesa nyingi za kigeni kwa Nchi ziko Shagalabagala !
Shinyanga - Geita Almasi na Dhahabu
Miji iko hoi bin taaban !
Angalau Anko Magu aliweka taa za barabarani na taa za kuongozea magari 😳 !
 
Mambo ya ajabu kabisa... Bora hata Kahama wanajua jinsi ya kuweka alama kwenye mji wao. Pale Shinyanga unaweza kupita usikute umepita makao makuu ya mkoa!
 
Issue ni Serengeti Iko Arusha na Mara na nmekuwekea hapo na Wikipedia ya Serengeti inasema Iko Arusha na Mara nyie mnataka mjimilikishe peke yenu si uzwazwa huo jina lenyewe Serengeti ni jina la kimasai 😂
Hiyo reference uliyoweka si sahihi!
 
Back
Top Bottom