Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

Kwahiyo Indian ocean Iko India tu na sio Tanzania wala Kenya hizi ni pumba Gani unaandika😂 kawazuie hao wanyama basi wabaki Mara peke yake wasitembee
Kinachowauma nyie ni kwann watalii wanàpitia Arusha lakini hamjui kua route ya Arusha inampa mtalii choice ya kupita kwenye hifadhi nyingine kama manyara na Tarangire
Au ni ubinafsi wa kila mtu abakie na chake tukisema hivo sasa Arusha si itakua nchi 😂 hujui Ngorongoro tu peke yake inaingiza hela sawa na hifadhi zote za Tanapa zikiungana

Watalii wanapenda route ya Arusha kwa sababu unaona vivutio vingi njiani mtalii hajaja kufupisha njia kaja kutembea
Ile view tu ya rift Valley unayoiona ukitoka Manyara kuelekea Ngorongoro ni 5star alafu wewe unataka mtalii atokee Lamadi acheni hizo bhana
Hata ungekua mtalii wewe lazima ungeopt kupitia KIA kwanza ukishuka tu Airport unaona mlima Kilimanjaro then Meru hiyo hapo
Kingine msichojua hela yote inayokusanywa inaenda kwenye mfuko wa nchi na wala msijidanganye kwamba itaenda Arusha peke yake
Watalii wenyewe wanajiuliza maswali mengi sana kuhusu mji wa Arusha! Yaani kila kitu pale kipo shaghalabaghala!
 
We lazima ni wa Kanda ya ziwa hamnaga akili nyie watu😂ungejua jinsi watalii wameongezeka Arusha tunakuhurumia tu
 
Nipo Arusha na hao watalii walioongezeka nipo nao kila siku.
Swali wanalojiuliza na ndo hilo hilo nililouliza: Kipi kinaonesha Arusha ni Jiji la kitalii? Wanalalamika kuhusu uchafu wa mji, foleni, makelele, umaskini wa watu mitaani, mipango ya ovyo ya makazi!
Mwisho wanasema mji unasinzia mapema na kuchelewa kuamka!
Wewe upo Arusha ipi?
 
Hongera sikujua kama thread Yako Ina lengo la kujenga nisameh mkuu
 
Pokea msamaha wote taslimu!
Kifupi nimechoka kujibu maswali ya wageni wa ndani na wa nje!
Wengi hawafurahishwi ama kuridhishwa!
 
Nlishawah kukutana na wachina usiku wamevaa tochi kama wanaapollo mjini usiku ni giza, wamama kupanga vitu kilombero pale chini, Barabara nyembamba pale shoppers n.k bado mji unakero nyingi hata iringa Iko smart zaidi
 
Kuna mgeni Leo ameuliza hivi hii kachumbali imetengenezwa na zile mboga mbaga kutoka kwenye lile soko chafu wamama wanasambaza vitu chini?
 
Duh ni Aibu kwakwel wangekua hata wanaficha ndanindani huko kulinda hadhi ya nchi
 
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.

Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?

Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!

Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!

Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?

Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!

Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
uwepo wa watu wanaojiita wadudu ndio utambulisho wenyewe kwamba chuga ndio lango la utalii!
 
Duh ni Aibu kwakwel wangekua hata wanaficha ndanindani huko kulinda hadhi ya nchi
Fedha zote wanazotumia kwenye matamasha wangetumia kwenye kuboresha yale masoko zingetoka na kubaki
 
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.

Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?

Ukifika Mwanza kuna yule Sato anatema maji... Yaani uulizi mara mbili!

Wengine tulitarajia kuwepo viashiria ama alama za kulitambulisha Jiji la Arusha kwa namna ambayo si rahisi kusahau!

Kingine wageni wanahoji kulikoni mboga mboga na matunda yanapangwa chini?

Haya masuala ya matamasha na nyamachoma Bado si utambulisho mzuri na wa kimkakati!

Viongozi wajipange vizuri tofauti watalii wenyewe wataendelea kukumbuka uchafu, foleni na visual pollution kutokana na zile picha za SSH zilizozagaa mjini!
Utapeli tuu labda na maigizo ya Bashite 😁
 
nadhani ni kwa sababu ipo karibu na Nairobi na Moshi, hivyo watalii wengi zaidi wanaoenda Nairobi wanaweza kushukia arusha kama lango na kwenda mbuga mbalimbali au na mount kilimanjaro. pia, kuzungukwa na mbuga nyingi.
 
Sawa sasa ndo tuseme umefika hapa Jijini kutoka Nairobi ama Moshi, ni kipi kitakuvutia useme umeingia kwenye hilo lango la Utalii?
 
lango kwa tz, kwa maana ya urahisi wa kupata ndege kwenda nje, kwenda zanzibar au dsm, kwenda serengeti, ngorongoro,manyara etc, pia, uwepo wa hotel nyingi zenye hadhi ya kitalii, uwepo wa westerners wengi, uwepo wa magari mengi yanayotoa huduma za kitalii n.k.
 
Sawa kabisa! Lakini umeshapata feedback za hao wanaotumia hilo lango? Au feedback zao si muhimu??
 
Back
Top Bottom