Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

Zanzibar nayo ishaa kupoteza asili. Wageni wanalalamika sana!
 
Sio ngapi! Wanayo moja ambayo ni maarufu dunia nzima kuliko hzo mbili za arusha.
Kwani hujui Serengeti ipo Arusha pia 😂 na Arusha haina mbuga 2 tu Kuna Arusha national park, Kuna Ngorongoro, Olduvai gorge, makuyuni wildlife park, oldonyo lengai, manyara national park lake manyara , tarangire, Kuna Mt Meru Bado Kuna ziwa eyasi na lake natron Yani Arusha utaipenda tu hata kwa fimbo😀
 
Kwanza arusha imezungukwa na vivutio kibao vya kitalii. Pili ukaribu wa Arusha na na Nairobi umerahisisha sana hilo kutokea. Naishia hapo kwa leo
 
Mchawi huyo achana nae.
 
  1. Mahoteli mazuri
  2. Uoto wa asili uliohifadhiwa
  3. Wanyama
  4. Mito
  5. Maasai
  6. Milima (Mount Meru, Oldonyo)
  7. Maziwa na ndege
  8. Moving sand
  9. Oldvai gorge
  10. Vyakula fresh
 
Kwa Mlombo
 
Tunasubiri sijui bashite atakuja na tamasha gani tena la kipumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…