Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

Serengeti iko mbali sana na Arusha
 
Yeah mkuu naelewa ipo Mara kwa kiasi kikubwa lakini kwa ilivyofanyiwa marketing, wengi wanadhani ipo Arusha kwa kiasi kikubwa
Sio marketing tu Iko Arusha na Mara kwa akili ya kawaida mara mkoa mdogo vile Serengeti inaweza kutoshea peke yake
 
Attachments

  • Screenshot_20250321-180807_1.jpg
    321.5 KB · Views: 31
Mnara wa saa, opposite to New Arusha Hotel... next to Postal Office...
Watu wanatafuta tu content braza
Mtoa mada uyu hakwenda Arusha kwa shughuli ya kiutalii ndo maana akaenda oftopic
Ukienda Arusha kwa shughuli isiyo ya kiutalii huwezi kuiona picha ya kitalii
Ila Akienda kama mtalii ndio atajua kwanini Arusha ni kitovu Cha utalii
 
Sio marketing tu Iko Arusha na Mara kwa akili ya kawaida mara mkoa mdogo vile Serengeti inaweza kutoshea peke yake
Mkuu, Serengeti inaunganika hadi Masai Mara kwa hiyo kuwa extended kwenye mikoa tofauti haiondoi uhalisia kuwa Serengeti inafikika kwa urahisi zaidi katika mkoa wa Mara kuliko Arusha kwa sababu kiuhalisia Serengeti ipo Mara geographically. Hizi sio guess work mkuu ila uhalisia ila kama una facts, nipo tayari kusahihishwa
 
Matamasha Sheikh
 
Kwahiyo Indian ocean Iko India tu na sio Tanzania wala Kenya hizi ni pumba Gani unaandikaπŸ˜‚ kawazuie hao wanyama basi wabaki Mara peke yake wasitembee
Kinachowauma nyie ni kwann watalii wanΓ pitia Arusha lakini hamjui kua route ya Arusha inampa mtalii choice ya kupita kwenye hifadhi nyingine kama manyara na Tarangire
Au ni ubinafsi wa kila mtu abakie na chake tukisema hivo sasa Arusha si itakua nchi πŸ˜‚ hujui Ngorongoro tu peke yake inaingiza hela sawa na hifadhi zote za Tanapa zikiungana

Watalii wanapenda route ya Arusha kwa sababu unaona vivutio vingi njiani mtalii hajaja kufupisha njia kaja kutembea
Ile view tu ya rift Valley unayoiona ukitoka Manyara kuelekea Ngorongoro ni 5star alafu wewe unataka mtalii atokee Lamadi acheni hizo bhana
Hata ungekua mtalii wewe lazima ungeopt kupitia KIA kwanza ukishuka tu Airport unaona mlima Kilimanjaro then Meru hiyo hapo
Kingine msichojua hela yote inayokusanywa inaenda kwenye mfuko wa nchi na wala msijidanganye kwamba itaenda Arusha peke yake
 
Shida ni nini mkuu, mbona unaandika paragraphs na kutoa attacks ambazo zipo nje ya kitu tulichokizungumzia

Issue ni Serengeti kuwa mkoa wa Mara. Kama umekubaliana na hilo, attacks za nini
 
Shida ni nini mkuu, mbona unaandika paragraphs na kutoa attacks ambazo zipo nje ya kitu tulichokizungumzia

Issue ni Serengeti kuwa mkoa wa Mara. Kama umekubaliana na hilo, attacks za nini
Issue ni Serengeti Iko Arusha na Mara na nmekuwekea hapo na Wikipedia ya Serengeti inasema Iko Arusha na Mara nyie mnataka mjimilikishe peke yenu si uzwazwa huo jina lenyewe Serengeti ni jina la kimasai πŸ˜‚
 
Umeona hapo wameforce kuweka "northern Arusha Region" Ili mradi Arusha ionekane. Hiyo ndio marketing

Na kutumia wikipedia ambayo ni open source pasipo kutumia reference zinginezo. Itakiwa ni ukosefu wa uelewa

Kingine mimi ni mtanzania, Serengeti ikiwa Arusha au Mara kwangu ni sawa maana yote ni Tanzania. Shida inaweza kuwa kwako "Muarusha" ambaye unafurahia kuona Serengeti ikiwa Arusha kuliko Mara.

Guess what, SERENGETI GEOGRAPHICALLY IPO MARA ZAIDI NA SI ARUSHA. πŸ™πŸ½

Unaruka ruka tu hata huelew unaongea nnπŸ˜‚
 
N
Sehemu zote Nchini zenye kuingizia pesa nyingi za kigeni kwa Nchi ziko Shagalabagala !
Shinyanga - Geita Almasi na Dhahabu
Miji iko hoi bin taaban !
Angalau Anko Magu aliweka taa za barabarani na taa za kuongozea magari 😳 !
 
Mambo ya ajabu kabisa... Bora hata Kahama wanajua jinsi ya kuweka alama kwenye mji wao. Pale Shinyanga unaweza kupita usikute umepita makao makuu ya mkoa!
 
Issue ni Serengeti Iko Arusha na Mara na nmekuwekea hapo na Wikipedia ya Serengeti inasema Iko Arusha na Mara nyie mnataka mjimilikishe peke yenu si uzwazwa huo jina lenyewe Serengeti ni jina la kimasai πŸ˜‚
Hiyo reference uliyoweka si sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…