Hivi ni kitu gani kinautambulisha Arusha kama lango la Utalii?

Watalii wenyewe wanajiuliza maswali mengi sana kuhusu mji wa Arusha! Yaani kila kitu pale kipo shaghalabaghala!
 
We lazima ni wa Kanda ya ziwa hamnaga akili nyie watu😂ungejua jinsi watalii wameongezeka Arusha tunakuhurumia tu
 
Nipo Arusha na hao watalii walioongezeka nipo nao kila siku.
Swali wanalojiuliza na ndo hilo hilo nililouliza: Kipi kinaonesha Arusha ni Jiji la kitalii? Wanalalamika kuhusu uchafu wa mji, foleni, makelele, umaskini wa watu mitaani, mipango ya ovyo ya makazi!
Mwisho wanasema mji unasinzia mapema na kuchelewa kuamka!
Wewe upo Arusha ipi?
 
Hongera sikujua kama thread Yako Ina lengo la kujenga nisameh mkuu
 
Pokea msamaha wote taslimu!
Kifupi nimechoka kujibu maswali ya wageni wa ndani na wa nje!
Wengi hawafurahishwi ama kuridhishwa!
 
Nlishawah kukutana na wachina usiku wamevaa tochi kama wanaapollo mjini usiku ni giza, wamama kupanga vitu kilombero pale chini, Barabara nyembamba pale shoppers n.k bado mji unakero nyingi hata iringa Iko smart zaidi
 
Kuna mgeni Leo ameuliza hivi hii kachumbali imetengenezwa na zile mboga mbaga kutoka kwenye lile soko chafu wamama wanasambaza vitu chini?
 
Duh ni Aibu kwakwel wangekua hata wanaficha ndanindani huko kulinda hadhi ya nchi
 
uwepo wa watu wanaojiita wadudu ndio utambulisho wenyewe kwamba chuga ndio lango la utalii!
 
Duh ni Aibu kwakwel wangekua hata wanaficha ndanindani huko kulinda hadhi ya nchi
Fedha zote wanazotumia kwenye matamasha wangetumia kwenye kuboresha yale masoko zingetoka na kubaki
 
Utapeli tuu labda na maigizo ya Bashite 😁
 
nadhani ni kwa sababu ipo karibu na Nairobi na Moshi, hivyo watalii wengi zaidi wanaoenda Nairobi wanaweza kushukia arusha kama lango na kwenda mbuga mbalimbali au na mount kilimanjaro. pia, kuzungukwa na mbuga nyingi.
 
Sawa sasa ndo tuseme umefika hapa Jijini kutoka Nairobi ama Moshi, ni kipi kitakuvutia useme umeingia kwenye hilo lango la Utalii?
 
lango kwa tz, kwa maana ya urahisi wa kupata ndege kwenda nje, kwenda zanzibar au dsm, kwenda serengeti, ngorongoro,manyara etc, pia, uwepo wa hotel nyingi zenye hadhi ya kitalii, uwepo wa westerners wengi, uwepo wa magari mengi yanayotoa huduma za kitalii n.k.
 
Sawa kabisa! Lakini umeshapata feedback za hao wanaotumia hilo lango? Au feedback zao si muhimu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…