Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi.
Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
 
Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi.

JKT walikwenda waliomaliza form six au vyuo. Direct employment hawakwenda
 
Siyo kila mtu alikwenda anakwenda JKT. Walienda wasomi tu. Samia ana elimu ya kimagumashi.
 
JKT walikwenda waliomaliza form six au vyuo. Direct employment hawakwenda

..hata kama mhusika alimaliza form 4 na kwenda direct employment, kama alipata mafunzo yoyote baada ya hapo, basi alilazimika kwenda JKT.
 
Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi.
Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
Ngoja niishie tu kulike
 
Visiwani huwa wanaenda JKT kwa mujibu wa Sheria?
 
Alikwenda pakistani kufanya mafunzo mbalimbali may be na hilo lilijumuishwa kwenye hiyo orodha ya mambo mbalimbali
Yani kweli mtu anaenda kusoma Pakistan?
Leo hii tunamkabidhi nchi?
No wonder watu wanachinjwa hovyo kama kuku.
 
Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi.
Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
Yani unataka Amiri Jashi mkuu akawe kuruta tena.
 
Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi.
Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
Huyo kilaza aliishia la saba tu.
 
Back
Top Bottom