Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

Kwamba kwa mara ya kwanza taifa limepata incumbent ambaye elimu yake haieleweki?
 
Ushaambiwa aliopt kwenda UN
Wewe ni mwongo mkubw. Hajawahi kuwa mwajiriwa wa UN..
Jibu sahihi:

Hakwenda JKT kwa mujibu wa sheria kwa sababu hakuwa na sifa. Kwenda JKT ilikuwa lazima uangukie kwenye sifa hizi:

1. Uwe umehitimu elimu ya kidato cha 6, yeye aliishia kidato cha 4.

2. Uwe umemaliza kidato cha nne, na kupata mafunzo yanayozidi miezi 18 kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali, yeye hakuwahi kupata mafunzo baada ya kidato cha 4 kwa sababu hakufanya vizuri kwenye masomo yake.
 
Na huo usekretari aliupataje mkuu?
 
Hakuwahi kuwa na vigezo vya kisomi vilivyowekwa kisheria kuwezesha yeye kujiunga na Jeshi la kujenga Taifa.

Ujanja ujanja uliotumika kumsimika kama mgombea urais wa CCM mwezi January ndio huo huo aliotumia kupenya penya hadi kuwa Rais pamoja na kuwa na ilmu ya kuungaunga.

Angalizo...

Historia hupenda kujirudia.
 
Watu maskini na wenye fikra finyu huwa na kaliba hizi
Kuna jamaa hadi kesho katika umri wa 50+ wanajisifia kusoma Ilboru au Kilakala huku umaskini ukiendelea kuwatafuna
Elimu ya darasani katika bara la Afrika ni upuuzi tu na kupoteza muda wa mafanikio ya mtu
 
Samia JKT ameshiriki.
Aliye waambia uzalendo unatengenezwa kwa miezi kadhaa ni nani?
Kwani ni viongozi wangapi wamepita JKT lakini ni mafisadi papa,(wanamtandao).

JKT ni Kwa ajili ya Brainwashing TU 😂, ina elekea hata historia ya TZ hamuijui vizuri nyinyi.

Sio vizuri MTU mzima na Elimu Yako unatumika kueneza chuki
 
..hata kama mhusika alimaliza form 4 na kwenda direct employment, kama alipata mafunzo yoyote baada ya hapo, basi alilazimika kwenda JKT.

Sikumbuki kuwa na Wanzenji JKT. Nafikiri walikuwa hawaendi.

Pia kama mtu aliishia form four akajiendeleza baadaye kama Maza kupitia Mature entry walitakiwa kwenda JKT lakini kama tu walikuwa chi ya miaka 35.
 
..sina uhakika huenda Waznz wanatakiwa kwenda JKU.

..Hussein Mwinyi yeye alisoma Tanganyika mpaka form 6 lakini hakwenda JKT.

..Na Hussein aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga, Tanganyika.
 
Back
Top Bottom