Hivi ni kwanini Baraza Kuu la CCM liliwaita na kutaka kuwahoji akina Membe na kumwacha Musiba?

Na hii ndio hukumu halisi inayotarajiwa na kusubiriwa kwa hamu atakayopewa Membe!
Hao CCM wanamuogopa sana Membe......

Hiyo yote wanazunguka, lakini lengo lao ni kumzuia Membe asigombee Urais 2020 na hivyo kumfanya Magufuli akose mpinzani
 
NEC ya watu wa hovyo kama kina Pinda unategemea nini?
 
Hao CCM wanamuogopa sana Membe......

Hiyo yote wanazunguka, lakini lengo lao ni kumzuia Membe asigombee Urais 2020 na hivyo kumfanya Magufuli akose mpinzani
Membe aogopwe kwa lipi hasa?! Aligombea 2015, tena akibebwa na mwenyekiti wa wakati huo, alifika wapi?
 
Africa is shit hole all Americans tweet is vital including dole la kati
 
mkuu umerudi ccm ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni hazina ya CCM..
Mkuu umethibitisha kuwa CCM ina wasomi.

Nimependa hoja zako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni kijana machachari wa ccm..
Safi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amilijeshi kwenye kikao cha ccm
Magu hana tabia ya kuvunja katiba ila huwa mnamfundisha..
Chama ni umoja fulani na utahusika kwa mambo yanayohusu members wake.

Hayo unayoyataja ya musiba na amilijeshi ni ya serikali sio kuitwa CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtoto anatukana mtu mzima juwa katumwa na mtu mzima sio yeye mtoto.Tuepukane kuwadhalilisha viongozi wetu waliopita tuwaheshimu hata kama kuna jambo la utata, lawezekana kumalizwa kwa unyenyekevu bila publicity .

highly true hypothesis
 
mkuu nawe ni ccm mwenzetu?
Nataka nikuunge mkono kuwatetea..

Nadhani wachadema wabaki kuuliza kwann Mbowe anakuwa mwenyekiti wa kudumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siko CCM wala Chadema

Kuuliza kwangu ni kwanini NEC ya CCM inawaita akina Membe na kunwacha Musiba, ni kwa kuwa nataka haki itendeke na naamini kuwa huyo Musiba ndiyo "root cause" wa haya yote yanayotokea

Kitendo cha CCM kufanya ubaguzi na kuwaonea baadhi ya watu, kitasababisha Taifa hil lisambaratike. OVA
 
ni chama chao na hakiendeshwi na katiba ya nchi....

Kama sio member wa ccm then kuuliza ni udaku[emoji1]

Kuna vyama hata vya kichawi.. haturuhusiwi kwanini wanafukua kaburi hili badala ya lile la zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…