babu hajasema hajawahi kuchit ila kasema anakochit haongelei mambo ya home, either anazungumzia hadithi za kuku na bata au anacheza kidali po then anasepa......
si eti babu Dark City?
yaani mpaka nimeandika ujue nimesoma tena na tena na tena lakini hola......FP rudia tena na tena utaelewa, kichanga vp kinaendeleaje? kinapata lishe bora?
kumbe one night stand siyo kuchit, lol!HAjawahi kuchit huyo
Labda kama ni 'one night stand'
Ni rahisi sana kujikuta unaropoka kwa nyumba ndogo hasa unapokaa nayo kwa muda mrefu
HAjawahi kuchit huyo
Labda kama ni 'one night stand'
Ni rahisi sana kujikuta unaropoka kwa nyumba ndogo hasa unapokaa nayo kwa muda mrefu
that's my baby sis........
ndo maana ukawa mdogo wangu, keep it up my dear..... hakuna wa zaidi yako
:becky::becky: Hapo nimeelewa kumbe nyumba ndogo zinaisadia nyumba kubwa kutoa huduma ya penzi tatizo ni muda na mahali tu , zidumu daima nyumba ndogo :clap2:
Hapa sasa naona unanifukuza jamvini kijanja,
Kwani haturuhusiwa kuongelea riwaya kwenye huu uzi??
Wiki 2 na kidumu?? Ili iweje??
Anyway..umeshanizuia kuendelea kuchangia...ngoja nisepe!!!!!
Vaa nguo zote upendeze lakini SANDA ndiyo fasheni ya mwisho;Tembea kote lakini KABURINI ndo matembezi ya mwisho, Panda gari,punda,meli,treni, ndege, ngamia, bajaji na pikipiki lakini JENEZA ndo gari la mwisho. Kusanya mali na mizigo mingi ya thamani, lakini UDONGO ni mzigo wako wa mwisho. Kifo ni cheo cha bure kwa wote. UVUNDO ndo marashi ya mwisho, KABURI ndo nyumba ya kudumu"
kumbe one night stand siyo kuchit, lol!
unamsemea mtu! mi simo siku utakayopigwa surprise
he he heeeeeeeee, nina uhakika rafiki Dena Amsi katupata....ah tubaki tunalia mpango wa kando mpango wa kando wamekuwa njia ya chooni dada mkubwa!
Dena Amsi mwaya
jipende jipare jipe raha jimwage!WEWE NDO MOTHER HOUSE HUO MPANGO WA KANDO UNGEKUWA WA MAANA UNGEKUTOA NDANI bibi wee!midhali upo ndani na mume unae wewe tu!jipange atakaa tu sawa!
TWENZETU pm kwanza tukapange mashambulizi !kitu gani banaaa!wakijua huu twalijua hili! Dena Amsi WEWE NI BORA NDO MANA ALIKUOA!NA AKAZAA NA WEWE WATOTO WENGINE NI MAJI TAKA !TU.PERIOD!
Kwenye BLUE ni sawa..yuko rafiki yangu mmoja huniambia kuwa ninakuwa na kitu cha uhakika hata wife akikufuma akiangalia anakubali kweli Mume wangu ulikuwa na haki ya kujikwaa...LoL...
Kwenye RED sijakusoma brother!
babu mimi nilidhani nimeshakuwa kilaza.... maana sikuelewa kabisa hiyo posti inalenga nini....