usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]
Hiyo hapo kwenye bluu ni kweli na yametokea, na huyo mbaba akaoa mke wa pili , wakazaa mtoto mmoja, ndipo ilipogundulika mkewe yupo hai, lakini yeye alimwambie yule mwanamke kuwa mkewe kafa siku nyingi.
Mi sikatai ila nawewe ni mwizi mwenzetu tena wewe ndio unatusababishia sisi kuiba.Erickb52 kwani ni uongo,
au niseme na mengine mnayosema huko kwenye hivyo vichaka vyenu.
mbona signature yako imekaa kimbea hivo shostisho?usijali my dear sis ,nawajua sana ...tena wengine wanaenda mbali zaidi wanadai wake zao wamefariki ,ukimuuliza kazikwa wapi? wapi kaburi.. wanadai oooh alifia baharini hatukuona mwili so tulitupa tu maua huko.kumbe wife mzimaaaa hana hata kovu.[/QUOTE]
Hiyo hapo kwenye bluu ni kweli na yametokea, na huyo mbaba akaoa mke wa pili , wakazaa mtoto mmoja, ndipo ilipogundulika mkewe yupo hai, lakini yeye alimwambie yule mwanamke kuwa mkewe kafa siku nyingi.
Weewweeeeewanadhani kuongea ongea ndo malovee! kelele miiingi output ziro kazi kulialia kama mbuzi
ila wanaume wengi ndo zenu,hata mkitongoza tu mnaponda wake zenu .oooh sijui nilimuoa wa nini? oooh nililazimishwa na wazazi...oooh nilikuwa mdogo ptuuuuuuu! mi waume za watu ptuuuu wazushi sana
Hahahaaa tena tunaanza kuja juu mbaya kila kona.
Mi sikatai ila nawewe ni mwizi mwenzetu tena wewe ndio unatusababishia sisi kuiba.
Lol Kwa kawaida Mamndenyi kwenye kula mautamu kusema mambo mengi yasiyo na tija ni kawaida tu siunajua akili huwa zinahama kwa raha ndani ya ubongo.
Hivyo hata tukisema ni sawa tu ila mambo yakimwagika tu network inarudi full hakuna tena matusi.
mmmh sijajaribu wa miaka hii ya karibuni wa 90s au 2000s? huko nyuma tayari
leo wanaume wanafunguka tu hapa so mkeo upo nae kiroho au kimwili? khaaa wapi kubwa la maadui lara 1Acheni kujidanganya nyie wanawake! Mi ninauzoefu sana na hizi nyumba ndogo na zinasaidia sana! Kuna mambo mengi hamyajui. Mwanamke ukiolewa unabweteka na hufundishiki kabisa. Unaziba maskio hata chakula cha mmeo unashindwa kupika, japo kukionja kabla hajala. Kwanini nisiwe na NN? Pia majibu mtu unajijibia tu kama mme ni mtu mwezako bila kujua kwamba ni kichwa cha pentagon.... Sasa kule kwenye nyumba ndogo kuna unyenyekevu wa hali ya juu sana! Kama ni kuhamia mi nilihamisha roho, kule home kunalala kiwiliwili tu!