???????????????????????????????????????????Heheheheheee ni balaaa
Dah kesho yake ndo unajishangaa ni wewe kweli? Ilikuwaje hadi ukaweza vile lol
????????????????????? am connecting my dotsHeeee hata mimi nahisi kuna mtu ana password yangu lol sio mwandiko wangu huu
Mbu unajua nakuheshimu sana wewe
Hiyo ni kuruka mkojo ukakaknyaga yule mkubwa wake...wakati mwingine unafikia mahali unajiuliza ivi nimekosa nini nyumbani??
Teh teh haya ndio maana nilisema kuna mtu anatumia ID yangu lol???????????????????????????????????????????
mie wa kwangu aliambiwa anataka kuolewa kabisa, akaambiwa siku zangu zinahesabika kwa hiyo ampe muda tu amalizie nyumba yake nyingine ili waishi kwa amani,kwamba mke wake siku hizi simjali hata ndugu zake siwapendi, blah blah kibao, hahaha siku waliyonikimbia bar nikasema huyu dada lazima nimtafute mpaka kieleweke, hahaha mdada alibwabwaja mbaya, aliniambia mpaka walipokuwa wanaenda kufanya matusi, siku mwanaume anarudi na mama nyamayao nyumbani kuomba msamaha nae akabwabwaja kivyake,hahaha mbona alisugua goti kulilia msamaha? kwa wanawake wote ma single, kama unadate na mume wa mtu jali wallet yake,(coz mie najua mtu anaedate na mume wa mtu ni ukwasi unamsumbua) usimsikilize blah blah zake coz ni za uongo mtupu na zinakupotezea muda wa ku chop money, hiyo kwenu ni biashara, fanyeni biashara achaneni na hadithi ndefu zisizo na maslahi, hatakuoa hata akwambie mke wake siku hizi anajikojolea kitandani na blah blah nyingine.
Najiuliza.................
Ni kweli mpango wa kando a.k.a nyumba ndogo husaidia kupunguza stress za nyumbani kwako??
Kama si kweli mbona unakwenda kumsimulia mpango wa kando mambo/matatizo yako na mkeo???
Kama ni kweli mbona humuoi huyo mpango wa kando akawa mke mdogo/wa pili ili hizo stress za home uzimalizie bila kificho wajameni???
Najiuliza sana sipati majibu kwanini uende kumueleza matatizo/shida/ugomvi wako na mkeo huyu mwanamke wa nje tena unaomba akupunguzie stress?? Eeehhh??
Yaani unakutana na kimpango wa kando kinakujua kuliko eeeeehhhhh wajameni.......................
Najua Asprin Dark City Mr Rocky Erickb52 na wengineo mtanipa majibu NISAIDIENI TAFADHALI
hahahahahaahahaaaaaaaaaaa! K yako imeenda wapi Smile, umeiazimisha nini kwa muda.:becky::becky::becky:teh natania bwana si sijui hata hayo mambo wala sina k mie
Ndio maana Babu hupaswi kukosa humu!Anayefanya hayo ni irresponsible cheater au ana matatizo zaidi ya anavyojihisi....
Mdau mwenye busara zake hata story za familia yake hazimo kwenye recipe yake na kidumu.....!!
Babu DC!!
Wajinga sana hawa eti ooohh kwanini hatukukutana mapema kabla ya huyu mwanamke sijui ni nini "Bure Kabisa"
Eti Mamndenyi, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Ukiondoa uzembe, umbea, ufitini au kosa dogo la kiufundi, ukiona mtu kafumaniwa kinyume cha hapo ujue kishachokwa mtu na inatafutwa njia rahisi sana, iliyozoeleka inayoeleweka na kujulikana ya kuachana.Kuibiwa ni ongoing process
Ukitaka kuacha kuiba au kuibiwa fumaniwa- Asprin
Na ukiona unagundua unaibiwa jua mwenzio kakaribia kukuchoka, hajali tena
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....Eti Mamndenyi, kikombe alichonipa baba sitakinywa?
Ukiondoa uzembe, umbea, ufitini au kosa dogo la kiufundi, ukiona mtu kafumaniwa kinyume cha hapo ujue kishachokwa mtu na inatafutwa njia rahisi sana, iliyozoeleka inayoeleweka na kujulikana ya kuachana.
Naomba nikujibu tu hapo kwa red kwa kauli fupi.....Najiuliza.................