Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

Hivi ni kwanini lakini?! Wanaume naombeni majibu

shauri zake
mbona wapo kibao wakuondoa mastress na maisha yakasonga
hii ya kulia lia ilishapitwa na wakati

Yeah ana haki tena ukute nanii zimemjaa hadi nanii imevimba lol halafu anajifanya muaminifu kwikwikwikwiiiii atabaki kulalama tu badala ya kutafuta kaserengeti kazikamue zote na stress zake ziishe :glasses-nerdy:

Copy kwa Dena Amsi
 
Mkirua ni sawa bado anayo bikira moja.

Keleuuuuuwiiiiii...mbafu sangu jamani...apaaaa!! Mamndenyi umeuwa!! Ngoja aje ajitetee mwenyewe Smile kayataka haya anatutangazia mwenyewwe ni bikra mara atuambie wakirua sio watamu bali wapare..sasa amejuwaje?? Smile jibu hoja ni bikira ya wapi uliyonayo??
 
Last edited by a moderator:
shauri zake
mbona wapo kibao wakuondoa mastress na maisha yakasonga
hii ya kulia lia ilishapitwa na wakati
Dah hajagundua siri ya mafanikio aisee
Kwanza inatakiwa zikimjaa tu azitoe yanini shoda na wakati kapewa bure anatakiwa atoe bure.
Fimbo ya mbali haiui nyoka aisee
Ila asisau mwanaume wa kweli.......!
 
Ila Mamndenyi sio kila nyumba ndogo ina maufundi nyingine game moja tu hurudii tena yan unasema mazima na kila kitu unadelete.....!

Hiyo ni kuruka mkojo ukakaknyaga yule mkubwa wake...wakati mwingine unafikia mahali unajiuliza ivi nimekosa nini nyumbani??
 
Hahahahaaaaa LoH Smile come this way.

Keleuuuuuwiiiiii...mbafu sangu jamani...apaaaa!! Mamndenyi umeuwa!! Ngoja aje ajitetee mwenyewe Smile kayataka haya anatutangazia mwenyewwe ni bikra mara atuambie wakirua sio watamu bali wapare..sasa amejuwaje?? Smile jibu hoja ni bikira ya wapi uliyonayo??
 
Last edited by a moderator:
Ile vibration ya kufumaniwa ndio adventure yenyewe

Unaomba msamaha huku unaliaaa weeeee

Anakusamehe kwa masharti kibao afu unampa chezo, ujue linakuwaga chezo la nguvu? Ndio raha yenyewe

(Disclaimer: Try at your own risk)

Hahahaaa kufumaniwa kuna stress aisee yan kwanza hata ukifumwa na msg ya mahaba lol utavibrate balaa
 
Hiyo ni kuruka mkojo ukakaknyaga yule mkubwa wake...wakati mwingine unafikia mahali unajiuliza ivi nimekosa nini nyumbani??
Hahahahahaaa kweli kabisa Mkirua
Tena siku hiyo unawahi kumaliza hasira kwa wife lol
 
Last edited by a moderator:
Ile vibration ya kufumaniwa ndio adventure yenyewe

Unaomba msamaha huku unaliaaa weeeee

Anakusamehe kwa masharti kibao afu unampa chezo, ujue linakuwaga chezo la nguvu? Ndio raha yenyewe

(Disclaimer: Try at your own risk)
Yan full kujituma hadi wife anashangaa hahahaaa siunajua shughuli za mwanzo sio kama za baada ya miaka miwili ya ndoa sasa siku hiyo unaunga hata tatu bila mapumziko utadhani umekula super shaft heheheheeeeee
 
Mkirua ndo mjue na kupima maji
siyo kwenda juu kwa juu
unatakiwa ukienda nje ujue kweli umeamua kufanya uharibifu nyie vipi

(Hivi nani kaiba pass word yangu??)
siyo majibu yangu mimi haya.

Hiyo ni kuruka mkojo ukakaknyaga yule mkubwa wake...wakati mwingine unafikia mahali unajiuliza ivi nimekosa nini nyumbani??
 
Last edited by a moderator:
He he he he, dah

Hizi ekperiensi zingekuwa zinaandikwa kwenye CV

Kuna watu wangekuwa maCEO wa microsoft hedi ofisi

Yan full kujituma hadi wife anashangaa hahahaaa siunajua shughuli za mwanzo sio kama za baada ya miaka miwili ya ndoa sasa siku hiyo unaunga hata tatu bila mapumziko utadhani umekula super shaft heheheheeeeee
 
hii inakua ni sawa na mtu kwenda kulewa ili kusahau matatizo kumbe unayazudisha
kama kwenye ile muvie ya motives vile
ingawaje mpango wa kando sitouacha maana kuna kipindi unasave hasa wife akiwa amesafiri kikazi
akiwa ameenda anga za mbali,akiwa hana mood nzuri mi bata na mpango wa kando maisha mafupi

"on investment do not depend on one source add another source"mpango wa kando
 
Mkirua ndo mjue na kupima maji
siyo kwenda juu kwa juu
unatakiwa ukienda nje ujue kweli umeamua kufanya uharibifu nyie vipi

(Hivi nani kaiba pass word yangu??)
siyo majibu yangu mimi haya
.

Kwenye BLUE ni sawa..yuko rafiki yangu mmoja huniambia kuwa ninakuwa na kitu cha uhakika hata wife akikufuma akiangalia anakubali kweli Mume wangu ulikuwa na haki ya kujikwaa...LoL...

Kwenye RED sijakusoma brother!
 
Mkirua ndo mjue na kupima maji
siyo kwenda juu kwa juu
unatakiwa ukienda nje ujue kweli umeamua kufanya uharibifu nyie vipi

(Hivi nani kaiba pass word yangu??)
siyo majibu yangu mimi haya.
Heeee hata mimi nahisi kuna mtu ana password yangu lol sio mwandiko wangu huu
 
hii mada imewekwa saa Today 08:26 sasa hivi ni saa 10:51 imefika page 8 kweli nyie watu mwafanya kazi saaa ngapi??????????

We dogo hujui kaka yako leo niko huku?
Haya kaa kimya naondoka sasa hivi!
 
Khaaaaaaaaaaaaaa! yaani unaendelea, na umefikia kunishawishi nimsaliti baba Careen nije huko nje niangalie ladha zingine, Nakwenda kukusemea.Wakati mwenzio najitapa nimepata mwanaume :A S angry::A S angry::A S angry:
teh natania bwana si sijui hata hayo mambo wala sina k mie
 
Back
Top Bottom