Hii ni hatari sana kwa taifa letuJibu ni kwamba watanzania huwa hawako serious, hakuna tofauti yeyote kwa mashabikia wa mpira bongo na hawa washabikia siasa za bongo. Kwenye mpira kama wewe sio yanga basi simba na huku nako kama wewe sio ccm basi chadema.
Wao wanaamini serikali ndio ccm na upinzani ndio chadema, ni mwiko kupongeza jambo lilofanywa na serikali au upinzani kama ilivyo kwa mashabiki wa simba na yanga tu.
Wakati wao Umeisha, Kyela inahitaji akili mpya.Yupo mwakyembe, kinanasi mwakalinga, utaweza
Na utashangaa! Utafiti wetu umegundua kwamba 70% ya wana Kyela hawataki kabisa ccmKila rahel bro,
Unafahamu matatizo ya jimbo kiuhalisia hutatuliwa na nani, lakini? Je, uko tayari kwenda kugalagala Magogoni na Chamwino? 😅Wakati wao Umeisha, Kyela inahitaji akili mpya.
Matatizo hayawezi kutatuliwa kwa kutumia akili zilezile zilizoyasababisha.
Tunaungwa Mkono sana Ipinda, Matema, Ngyekye, Ipande, Ikulu, Mwaya, Talatala, Tenende na NjugiloLadba wagawe majimbo mawili la kyela MJINI na ipinda ,chadema wanaweza kuchukua kyela MJINI.
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
Kwa vile tutachukua Halmashauri na Tutachukua Nchi sina shaka, Amini nakuambia Mwisho wa ccm umefika Rasmi, wala UsiogopeUnafahamu matatizo ya jimbo kiuhalisia hutatuliwa na nani, lakini? Je, uko tayari kwenda kugalagala Magogoni na Chamwino? 😅
Ujinga tuuUtamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
Kila siku siyo JumapiliMnachukua inchi ? Mfumo huu wa tume? Mnjizima akili
Nawaambia sijaona imani kubwa kiasi hiki Bongo yote. Nenda na amani. Na ikawe kama ulivyodhamiria. Kila la heri.Kwa vile tutachukua Halmashauri na Tutachukua Nchi sina shaka, Amini nakuambia Mwisho wa ccm umefika Rasmi, wala Usiogope
Kanda ya Nyasa tuna uhakika na Majimbo 20 kati ya 31, la Kyela ni la Kwanza, Na hayo mengine 11 tunayagombea, hatujayaacha.Ladba ccm ijichamganye wasimpitishe kinanasi,ndo mtachukua, .
AminaNawaambia sijaona imani kubwa kiasi hiki Bongo yote. Nenda na amani. Na ikawe kama ulivyodhamiria. Kila la heri.
CCM wametufikisha hapa kwa ujinga waoJibu ni kwamba watanzania huwa hawako serious, hakuna tofauti yeyote kwa mashabikia wa mpira bongo na hawa washabikia siasa za bongo. Kwenye mpira kama wewe sio yanga basi simba na huku nako kama wewe sio ccm basi chadema.
Wao wanaamini serikali ndio ccm na upinzani ndio chadema, ni mwiko kupongeza jambo lilofanywa na serikali au upinzani kama ilivyo kwa mashabiki wa simba na yanga tu.