Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

Jibu ni kwamba watanzania huwa hawako serious, hakuna tofauti yeyote kwa mashabikia wa mpira bongo na hawa washabikia siasa za bongo. Kwenye mpira kama wewe sio yanga basi simba na huku nako kama wewe sio ccm basi chadema.

Wao wanaamini serikali ndio ccm na upinzani ndio chadema, ni mwiko kupongeza jambo lilofanywa na serikali au upinzani kama ilivyo kwa mashabiki wa simba na yanga tu.
Hii ni hatari sana kwa taifa letu
 
Utamaduni wa kishamba sana ,tumebaki kuwa taifa linaloendeshwa kwa mawazo ya ntu mmoja
 
Wakati wao Umeisha, Kyela inahitaji akili mpya.

Matatizo hayawezi kutatuliwa kwa kutumia akili zilezile zilizoyasababisha.
Unafahamu matatizo ya jimbo kiuhalisia hutatuliwa na nani, lakini? Je, uko tayari kwenda kugalagala Magogoni na Chamwino? 😅
 
Ladba wagawe majimbo mawili la kyela MJINI na ipinda ,chadema wanaweza kuchukua kyela MJINI.
Tunaungwa Mkono sana Ipinda, Matema, Ngyekye, Ipande, Ikulu, Mwaya, Talatala, Tenende na Njugilo
 
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?

Akili ndogo, hawaangali hoja, nini mtu anasema kabla ya kujibu. Sababu uwezo ni mdogo wanakimbilia matusi.
 
Unafahamu matatizo ya jimbo kiuhalisia hutatuliwa na nani, lakini? Je, uko tayari kwenda kugalagala Magogoni na Chamwino? 😅
Kwa vile tutachukua Halmashauri na Tutachukua Nchi sina shaka, Amini nakuambia Mwisho wa ccm umefika Rasmi, wala Usiogope
 
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa
1. Elimu yetu ni mbovu?
2. Au ni umasikini?
3.Au ni taifa letu limekufa
4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
Ujinga tuu
 
Kwa vile tutachukua Halmashauri na Tutachukua Nchi sina shaka, Amini nakuambia Mwisho wa ccm umefika Rasmi, wala Usiogope
Mnachukua inchi ? Mfumo huu wa tume? Mnjizima akili
 
Akili ndogo, hawaangali hoja, nini mtu anasema kabla ya kujibu. Sababu uwezo ni mdogo wanakimbilia matusi.
Udumavu wa akili, watanzania wana tatizo la afya ya akili
 
Kwa vile tutachukua Halmashauri na Tutachukua Nchi sina shaka, Amini nakuambia Mwisho wa ccm umefika Rasmi, wala Usiogope
Nawaambia sijaona imani kubwa kiasi hiki Bongo yote. Nenda na amani. Na ikawe kama ulivyodhamiria. Kila la heri.
 
Ladba ccm ijichamganye wasimpitishe kinanasi,ndo mtachukua, .
Kanda ya Nyasa tuna uhakika na Majimbo 20 kati ya 31, la Kyela ni la Kwanza, Na hayo mengine 11 tunayagombea, hatujayaacha.

Hatutanii tulishajipanga kitambo mno! ile Chadema Digital tuliyokuambia wakati ule haikuwa mchezo. nothing lasts longer

Hifadhi haya maneno
 
Jibu ni kwamba watanzania huwa hawako serious, hakuna tofauti yeyote kwa mashabikia wa mpira bongo na hawa washabikia siasa za bongo. Kwenye mpira kama wewe sio yanga basi simba na huku nako kama wewe sio ccm basi chadema.

Wao wanaamini serikali ndio ccm na upinzani ndio chadema, ni mwiko kupongeza jambo lilofanywa na serikali au upinzani kama ilivyo kwa mashabiki wa simba na yanga tu.
CCM wametufikisha hapa kwa ujinga wao
 
Back
Top Bottom