Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
- Thread starter
- #21
Hii ni hatari sana kwa taifa letuJibu ni kwamba watanzania huwa hawako serious, hakuna tofauti yeyote kwa mashabikia wa mpira bongo na hawa washabikia siasa za bongo. Kwenye mpira kama wewe sio yanga basi simba na huku nako kama wewe sio ccm basi chadema.
Wao wanaamini serikali ndio ccm na upinzani ndio chadema, ni mwiko kupongeza jambo lilofanywa na serikali au upinzani kama ilivyo kwa mashabiki wa simba na yanga tu.