Ok ko issue Ni kwamba anawaza ukifilisika, pesa itakuwa Kama imepotea ,ook hapo nakupata.Wazazi wengi hali za maisha ni kawaida
Akupe labda 20mil ufilisike anapatawapi nyingine kukuboost urudi kwenye mstari
Hivyo anaona bora upate elimu unaweza ajiriwa ukapata na mtaji kupitia ajira
What about we put it this way.
Mbali ya elimu biashara nayo yataka pia uwe na passion nayo.Unakuta mzazi anakwambia, "Mimi nitakusomesha mpaka pale utakaposema basi" lakini kukupa mtaji heh utasubiri sana.
Mzazi atajitutumua hata Kkma ada ni kubwa atailipa hivyo hivyo. Unaweza mwambia mzee, hiyo pesa badala ya kunipeleka Feza Schools, unaonaje upatie nifungue biashara? Atagoma, atakwambia mimi kazi yangu ni kukusomesha.
Siri ni nini? Kwa nini ipo hivyo? Kwanini huwa wanagoma?
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Basi huenda mzazi anakuwa hajakosea Ila Ni kwamba elimu yetu haiko vizuri. I get you.What about we put it this way.
Elimu tunayosoma sio practical in nature jambo linalopelekea tunahitimu na taaluma za makaratasi ambazo kwa vitendo tunashi ndwa kuzitumikia.
Biz hapa bongo urasimu mwingi kama ndio inaanzaOk ko issue Ni kwamba anawaza ukifilisika, pesa itakuwa Kama imepotea ,ook hapo nakupata.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Waliikimbia wao darasani lakini wamefundisha watoto wao na ndiyo wanaoendeleza hizo biashara.Na ukweli ni kwamba matajiri wengi kama siyo wote waliikimbia hiyo elimu ya darasani
Siyo kwamba wanawa-force watoto wao kuzisoma ila wanawapatia machaguziWaliikimbia wao darasani lakini wamefundisha watoto wao na ndiyo wanaoendeleza hizo biashara.
Oooh I get you, Kuna moja ukiwekeza , then Incase ukapoteza umepoteza mazima. You will have nothing left. [emoji106]Ukiwa na elimu hata kama biashara itakwama elimu itakusaidia,lakini ukipewa mtaji na biashara ikikata na huna elimu ndio imekula kwako hiyo...
😡[emoji107]
Unakuta ada uliyomlipia kwa hii mishahara ya laki Saba na nusu inachukua miaka 20 Ela yote kuja kurudi [emoji3]. Au mpaka anakufa hela haijawahi Rudi . Doh.Mkuu
Hapo mbeleni mambo yatabadilika!
BINAFSI nimeachana na kasumba ya kulipa .a ada kubwa
Ekubwa kwenye Elimu zisizolipa!!
Maliza fom four nenda kozi makini jiajiri!
Elim ya Bongo hailipi!