Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

Hivi ni kwanini siku hizi serikalini wanaaajiri hasa wenye elimu ya diploma? Vipi kuhusu walioanzia degree?

Kwenye uwiano wa kisomo, diploma holder ndiyo mtekelezaji mkubwa (handyman au fieldboy). Kule ndiyo vijana wanafunzwa zile a b c za ile fani (kiutendaji).

Hapa kati nchi hii ilifuta kabisa hiyo kada ya kati (diploma), imejikuta haina vijana wa shambani lakini ina maofisa wengi ambao ni degree wa kukaa ofisini.
 
Serikali inahitaji watendaji zaidi kuliko wakaa maofisini, Diploma na certificate wanapiga kazi na mshahara wao ni kiduchu ukilinganisha na degree!!
 
Hizo kazi za diploma mbona ndio hamna kabisa, atleast degree inaweza kuwa na market.
 
Hii jambo limeanza kuwa kama kanuni. Yan hii nchi ni nzuri lakin ina bahati mbaya sana sana.
 
Back
Top Bottom