Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Ooh yesSo wee unapenda kukaa chini eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh yesSo wee unapenda kukaa chini eti?
Nawaza mbali sana...Chura ni habari nyingine kabisa!Ooh yes
Sikumbuki kama niliwahi kumpiga mtu wa rika yangu zaidi ya kutembezewa kichapo tu .
Nilikua nawaonea wadogo kiumri .
Rika langu walikua wananifumua sana tu,uzuri nilijenga urafiki na mabaunsa ndo walikua wananiokoa
msinikumbushe enzi za watemi wa wazamani.akina double difu(rip) na kidume (rip).hao wote walikuwa ni mabaunsa ktk kumbi mbalimbali za starehe hapa town dsm.
walikuwa wanafanya kazi ya ziada sana maana zama hizo disko likuwa haliishi bila watu kupigina.Mara nyingi chanzo nilikuwa ni mwanamke.
Siku hizi watu wanapigana na maisha.ugumu wa maisha na harakati za utafutaji ni kipigo tosha
[emoji1] [emoji2] [emoji3]😀😀😀😀😀
Wee utakuwa mtu wa garage tu, lazima...Siku izi ukirusha ngumi. Wanakupiga chupa ya kichwa. Ndio maana watu wamekuwa wastaarabu. Au unapigwa spana ya mdomoni lazima meno yatoke. Na ndio maana mtaani ukipata mdaa ukapita unakutana na vijana wengi awana meno iyo ni spana ya mdomo. Maeneo mengi vijana wamepoteza meno
Daah, ilikuwa si mchezo, yaani watu wazima, mbabe wa kila mtaa wanakutana na zinakunjwa huku watu wamezunguka
Nakumbuka Mtaani kwetu kulikuwa na Zitto na Jamali, sikumtimu zao zinacheza lazima mkono uwekwe
Duuuuuu, Umenikumbusha 😀😀😀😀Umenikumbushaaaa Enzi hizoooo, Dah Jamall na Zitto, Kinondoni Moscow Viwanja vya Ananasif P.S au Mkwajuni, Aisee zilikuwa zinapigwa mtaa mzima. Aisee maisha yalikuwa soft sanaaaa, vichwa vilikuwa vimejaa maji tu. Unakumbuka timu za mpira za enzi hizo TP Nyundo, Berlin😀😀
Mbeya walikuwepo jamaa wawili warefu miraba mi4..mmoja anaitwa YESU na mwingine alikuwa anajiita ShetaniNakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa lazima ziishe kwa ngumi.
Kwa wale wa Iringa mtawakumbuka kina cool 9, shedadi, Ray nk
[emoji38] [emoji38] [emoji38] eti freehader nimecheka sana mkuuDaaah! mleta mada umenikumbusha mbali miaka ya 1995_2000 kesi nyingi sana nilipelekewa nyumbani.Kwanza kunadogo alipokea ndosi/teke la kivandame alivunjika mkono,kesi ambayo ndiyo ukawa mwisho wa kupigana ni pale kijana mmoja nilimpa free header na alizimia 30minutes hapo ndipo kijasho chembamba kilinitoka na kuvua gloves rasmi.