Hivi ni kwanini siku hizi watu hawapigani mitaani kama miaka ya 1980s?

Hivi ni kwanini siku hizi watu hawapigani mitaani kama miaka ya 1980s?

Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.

Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa lazima ziishe kwa ngumi.

Kwa wale wa Iringa mtawakumbuka kina cool 9, shedadi, Ray nk
Sababu ni mabadiliko ya tabia nchi..watu hawana afya pia hula vi batili...ukipiga mtu kofi anaweza kuzimika jumla..sasa kifuatacho......
 
Ila kwell kabisa watu hawapigani kabisa ! Nilikua napenda sana kupigana
 
Njoo huku kwetu mkoa wa Mara bado tunapigana, tena wanaume tunatembea tumevaa makoti marefuu hata kama kuna jua kali, sababu: nimeficha panga limenolewa, sasa ugomvi ukianza tu mie nachomoa panga au na mwenzangu naye anachomoa panga lake KAZI INA ANZA. huku kwetu hata hospitali ya mkoa wa Mara hakuna wagojonjwa kuharisha,ooo mara malaria, mara sijui mkojo mchafu nooooooo huku wagonjwa ni MAJERUSI TUUUUUU
 
Y
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.

Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco ilikuwa lazima ziishe kwa ngumi.

Kwa wale wa Iringa mtawakumbuka kina cool 9, shedadi, Ray nk
Yeah!, cool 9!, Na Hayati, umenikumbusha mbali Sana!, siku moja cool 9 alizinguana Na mzee mmoja dereva wa Lori la mafuta mtaani kwetu, alikura risasi ya bega, ikawa stori ya mjini, sisi wenyewe wakati tunakua tulikuwa Na kitu inaitwa "UWANJA WA DAMU", mkibishana buti Tu ya kwenye soka Kila kitu kinasimama tunelekea uwanja wa damu kwa pambano moja, lakini huko yatazuka mengine hata zaidi ya 10, mzunguko ukiisha wote mlioenda Kama watazamaji mnajikuta mmezipiga, ili usipigwe kubali unyonge mapemaaa!, ila ndio utachekwa mpaka Na wasichana( Na hapo ndipo mtoto wa kiume anapofanya maamuzi magumu), Siku hizi, kupigana Tu hadharani wote mnashitakiwa, Na watu wanajua Sana sheria, "hata kuitanana bwege Tu!, ........!.
 
Mleta mada unanikumbusha mbali sana 1981 ama 1982 kama sijakosea kuna dogo flan aliingia anga zangu kijijin huko mbarali kwa kumtongoza mchepuko wangu. Nilitembeza vitasa kijiji kizima kwa madogo wote wenye umri kama wake. Maumiv makal sana niliwakabiz kwa kosa la mtu mmoja. Yan nilikuwa na bwaka nikiibuka 10 ardhin nikizama nikichomoza 20 wengine chali. Nikamchukua dogo mwengine mwembamba hiv nikamtumia kama fimbo kwa kuwacharaza. Ila kwasasa nimejikita zaid kusaka hela uzee nao ndio huo. Ila miaka iyo ya themanini nilikuwa mtemi sana
Ulikuwa Hawafu mwenye nguvu mkuu.... Uliandika Kitabu?
 
Sasa hiv watu wanapigana kiDigital (Fedha, kwenye mitandao ya kijamii).........


Silaha pesa kisu mzigo
 
Mambo mengi sana ya miaka hiyo hayapo tena si kwa vijana tu bali hata watoto. Vurugu hizo za kitaa miaka hiyo ilikuwa kama sehemu ya burudani, maana technology ya simu au tv vilikuwa bado sana. Kwa kipi di hiki mambo ni tofauti sana, hata ule ushabiki wa.mambo ya kale haupo tena, watu wa rika zote wamewekeza zaidi kwenye smart phone, phabletes na tv. Biashara ya kurushiana ngumi kavu kavu imebaki kwa walevi wachache wakipendeza.
 
~~~>>Umenikumbusha miaka kadhaa nyuma..

Siku moja nilijifanya mtata... Nikamchokoza jamaa mmoja hivi..Alikuwa na kidemu chake nikawa natafuta Ujiko...


Jamaa akanipiga ngumi moja ya pua... Sijakaa sawa akanipa moja ya Sikio.. Hapo nikiangalia mbele sioni


Jamaa anaendelea kutupia ngumi.... Nikaona Izrael ananisogelea.. Nikataka kukimbia wapambe wananizuia... Wanashangilia ninavyokula ngumi


Jamaa akanifumua ngumi moja Juu ya Sikio..... Hapo damu zikaanza kutoka... Akili zika kaa sawa

Nikaona hapa nakufa....Nikajikaza... Nikaelekeza nguvu zote kichwani.... Nilimtandika kichwa kimoja cha Kujitoa mhanga.... Jamaa akapepesuka nikapata Upenyo wa kukimbia

Nilitoka Speed ambayo hata wangenikimbiza na Piki piki wasingenikamata


NB:
Ila jamaa alinifumua.

At least wewe umejaribu kuongea ukweli japo mwishoni umejaribu kudanganya kuliko wakongwe wenzio ambao wao walikua wababe tu kipindi hicho...
 
Raia siku hzi kama hana tatizo la INI basi ujue FIGO zinazingua, ubavu wa kupigana atautoa wapi?
Kwa sehemu zingine,kipindi hicho michezo kupigana ilikua ni mojawapo ya tamaduni kwasababu utakuta watu wanachonganisha watu fulani ili wajue nani mbabe kati yao na pia kutaka kumjua mbabe wa kitaa/kijiji...
Pia zamani vyakula vilikua vinaruhusu watu kupigana,kitu cha ugali majani ya kunde,samaki original, sio siku hizi chakula chips, fursana, azam cola utakufa tu baada ya kupigwa nakoz mbili tu.
 
Swala sio kupigwa chupa au tofari au betoo. All that huitwa "Brawls". You use the environment to your advantage. Sikuhizi kuna wanawake-wanaume, in English is what they are called "BitchNiggers" or "Pussies" or "Ladyboys" (Samahani kwa kutunia profanity/lugha chafu/lugha ya mtaani).

Watu wanaongea sana na kutishiana kwa mdomo cause they ain't real men, the act like one but they all boys. There is no honor no more in people these days!

In '80, mtu atakayekukutukana, au kukukanyaga au bump you while you where walking; you beat him up so hard that attaenda kuadisia kwa wenzake. All b'cause of defending your honor and building/maintaining your rep (other words, respect in the streets). With that kind of a respect, you are known to be more of a man and more of a fighter both in streets and in life.

Pia, the other reason, is to show up to women. Zamani, wanawake they like to see a man who defends her honor. Zamani kumpiga mwanamke ilikua ni nadra, so you hit a woman; s'one will come and hit/kill you. So, when in a club, you show off to women by being an "Alpha" male in that club by beating up s'other dude who tries to grab attention ya huyo mwanamke.

These days, women are won over by money or a type of car you drive (still existed in '80) or s'stupid ignorant shit and also, they are more of ladyboys than men.

PS: There is another meaning of a 'Ladyboy", in these case,it's not applicable.
 
Kuna watu wana hamu ya kukojozwa humu, anayetaka kichapo heavy aseme Suuu
 
Siku hizi watu wanapigana nyuma ya keyboards.

Too many pussies and sore vaginas.
 
Haaa haaa ni kweli nakumbuka kipindi hicho tukitoka shule lazima zipigwe sana hadi mtu atoke damu ndio unaonekana mjanja.

Mambo yamebadilika sana karibu kila kitu siku hizi ni tofauti na zamani.1980S tulikuwa tunawinda ndege,tunatengeneza manati..........Watoto wa kizazi hiki wako busy na smartphone.
 
Sikumbuki kama niliwahi kumpiga mtu wa rika yangu zaidi ya kutembezewa kichapo tu .
Nilikua nawaonea wadogo kiumri .
Rika langu walikua wananifumua sana tu,uzuri nilijenga urafiki na mabaunsa ndo walikua wananiokoa
 
Zamani hizo bana, krismasi haiishi bila historia ya kudundana
 
Dah! Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 80 ilikua raha aisei, demu unamtafuna bila kuwaza UKIMWI, halafu ngumi mtaani bila kuwaza kesi.
10525756_1035425373188123_948716793150839502_n.jpg
 
Mleta mada unanikumbusha mbali sana 1981 ama 1982 kama sijakosea kuna dogo flan aliingia anga zangu kijijin huko mbarali kwa kumtongoza mchepuko wangu. Nilitembeza vitasa kijiji kizima kwa madogo wote wenye umri kama wake. Maumiv makal sana niliwakabiz kwa kosa la mtu mmoja. Yan nilikuwa na bwaka nikiibuka 10 ardhin nikizama nikichomoza 20 wengine chali. Nikamchukua dogo mwengine mwembamba hiv nikamtumia kama fimbo kwa kuwacharaza. Ila kwasasa nimejikita zaid kusaka hela uzee nao ndio huo. Ila miaka iyo ya themanini nilikuwa mtemi sana

Hahaha nimecheka sana ukute hata hiyo 1981 ulikua hujazaliwa
 
Back
Top Bottom