Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mkuu hii post naomba niipigie kura ya post ya siku ya kuondolea stress mkuu...
Kula like mkuu...
Kula like mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Mkuu Kweli Wewe Ni Bonge La Lofa Mkuu, Na Mkuu Acha Kuja Na Maswali Ya Kiliberali Mkuu, Sawa na Umesikia Mkuu?????
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Nini cha ajabu mkuu?Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Kuna hii nyengine ya kuamini kila msomi ana mawazo bora kumbe hapana vitu hivi havina uhusiano hata kidogo na kama upo basi ni mdogo mno. So mtu kuwa na busara na hekima hakuna uhusiano wowote na umri au elimu yake. Unajua watu wazima walianzia huku kwenye utoto, ujana n.k sasa mtu kama kwenye ujana wake huoni kitu kichwani basi hapo usitegemee kama akiwa mzee atakua na busara. Kwa hiyo basi twaweza kuufanya uzee wetu uwe bora iwapo tutaamka kipindi cha ujana wetu na kuyafanyia marekebisho maeneo mbali mbali ambayo yana matatizo.Ni mfumo wa makuzi tuliokulia ulisababisha tukaamini kwamba watu wakubwa hawafanyi makosa na kwamba wao ndio wenye busara sana na mambo yote awkwardly yanafanywa na rika dogo kiumri....
Kwanini hujawahi kujiuliza ni kwanini mambo mengi yanayochangia kumomonyoka kama siyo kupukutika kabisa kwa maadili kijamii yanachangiwa na rika hili kubwa ambalo zamani tulikaririsha kuwa halikosei? Ukirudi kwenye duru za kimentalist utaona pia katika makundi matatu ya kijamii ambayo hayawezi kusema uwongo mojawapo ni kundi la watoto wadogo (la pili ni la ulevi na tatu ni mtu mwenye hasira kwa kuwa staha imekwishawaondoka) kwa maana wanayonena ndiyo yameujaza moyo wao na ndiyo kweli!
Kama zipo kesi za ubakaji ambazo mbakaji ni mtoto nafikiri ni moja ama mbili kwa uwiano wa milioni nyingi kulinganisha na watu wakubwa. Pia uchunguzi mwingine niliofanya ambao si rasmi ni kwamba hata uwezo wa kujenga tafakuri na kuelewa mambo kwa mtoto mdogo ni mkubwa sana kulinganisha na watu wakubwa na kwenye hili ndipo wenzetu waliopata exposure wanapotuacha kwa kuwa wanagundua mapema creativity ya mtoto hivyo kama ni kumwendeleza anaendelezwa moja kwa moja kwenye area yake anayoonekana anaimudu badala ya kum diversify kwenye mlolongo wa mambo hatakuwa compitent badae!
Hivi hata wadada wanaitwa 'wakuu'?
Basi mi nabadilisha mkuu, kuanzia leo tuwe tunaitana poti!