djnehe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 677
- 211
Si kutengeneza matabaka kwani wakuu wote wana hadhi sawa?
Ktk forums zilizomo Jf kuna magwiji wa kila forum hatufanani uelewa na michango tuyotoa ktk uchangiaji wa threads kwa mfano,
Jf docto-Mzizi Mkavu
Jf photo- Utafiti,Moneystuna
Jf Siasa-Mzee Mwanakijiji
Kwahiyo ukuu wetu hauwezi ukawa sawa
Ata bungeni wanaitana waheshimiwa mfAno waziri mkuu naye huita wabunge wakawaida huwaita waheshimiwa
Mkuu hakuna aliye juu wote sawa