hakuna shida dogo languNimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Hili ndilo jibu sahihi, hivyo thread ifungwe.
Ni kama ambavyo ulivyomalizia swali lako mkuu.Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Kwann mkuu?Hili ndilo jibu sahihi, hivyo thread ifungwe.