Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu ukuu ni ukuu tu hata kama anayekuita si mkuu au hata kama wewe si mkuu
 
hivi wakuu kama saa hz stephen wasira tumuite mheshimiwa au mkuu
 
Mkuu ni neno zuri kwakweli, linatuweka ktk heshima
 
Salama wakuu?😀😀😀😀😀
 
Sababu kuu ya kuitana mkuu ni kwakuwa hatujuani jinsia kutokana na hizi iser id, so nikikuita mkuu inakuwa hainaga majotroo...
 
Chanzo cha ili neno mkuu kuanza kutumika jamii forum ilikua lini na nani alikua founder wake
 
Back
Top Bottom