hatuwezi kupata ukuu anaotafuta Lowasa etc, hivyo heri kujipachika tu
mkuu mbona hii ipo tangu zamani? jaribu kuanga thread za 2006. zamani tulikua tunaitana wakuu. ukishajiunga jf unapata cheo cha mkuu na uliyemkuta anakua ni mkuu pia. mia
mkuu mbona hii ipo tangu zamani? jaribu kuanga thread za 2006. zamani tulikua tunaitana wakuu. ukishajiunga jf unapata cheo cha mkuu na uliyemkuta anakua ni mkuu pia. mia
Nimekua humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana mkuu limekuja tuu sjui kwa nini wakuu?
Mimi hata wife tunaitana hivyohivyo! Unadhani hatuko sahihi ?
mimi usiniite mkuu, niite mheshimiwa!! Sawa??
Wewe si ni doctor au?