Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu nadhani mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi matumizi ya neno mkuu yamepungua sana, nadhani hii imetokana na wanachama wapya wengi na wale wakongwe siwaoni tena watu kama kina Nyanigabu @figaniga Secret Service nk
Jukwaa la siasa linashushwa hadhi na wale vijana wa pale lumumba/wachumia tumbo.
Yaani wanatabia mbaya,wao tumbo mbele akili nyuma
Huyo nae ni Mkuu?wakuu nadhani mtakubaliana na mimi kuwa siku hizi matumizi ya neno mkuu yamepungua sana, nadhani hii imetokana na wanachama wapya wengi na wale wakongwe siwaoni tena watu kama kina Nyanigabu @figaniga Secret Service nk
Toka nije JF nimeona wtu wengi wanaitwa wakuu... Na mimi nikanogewa kutumia hou msamiati.... Hivi ni kweli kila anayeitwa mkuu ni mkuu???
Huku kwetu mkuu ni mama mkubwa. Je wewe ni MKUU?
Yani kwa kweli neno mkuu ni km legal term ndani ya jf inayodumisha kuheshimiana,kuthaminiana, na zaidi ni brand ya hekima na busara ya jamii yetu watanzania.hivyo linapotumika humu huakisi vyote hivyo nilivyovitaja.na ukitaka kumjua mtu ni member wa jf hata kwa msg za kawaida au maongezi yyte hukosi kusikia neno mkuu toka kwake.