Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

sababu ya hili neno kupotea.. ni aina ya mada zinazojaa siku hizi...zimejaa malumbano..kejeli..ugomvi na chokochoko...hivyo basi watu huishia kupeana maneno makali tu
 
Mkuu nyanigabu ndio nani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kweli mkuu neno mkuu halitumiki tena mkuu sjui kwanini mkuu
 
Toka nije JF nimeona wtu wengi wanaitwa wakuu na mimi nikanogewa kutumia hou msamiati. Hivi ni kweli kila anayeitwa mkuu ni mkuu?Huku kwetu mkuu ni mama mkubwa.

Je wewe ni MKUU?
 
Yani kwa kweli neno mkuu ni km legal term ndani ya jf inayodumisha kuheshimiana,kuthaminiana, na zaidi ni brand ya hekima na busara ya jamii yetu watanzania.hivyo linapotumika humu huakisi vyote hivyo nilivyovitaja.na ukitaka kumjua mtu ni member wa jf hata kwa msg za kawaida au maongezi yyte hukosi kusikia neno mkuu toka kwake.
 
Asilimia kubwaa ya watu ni watu wazima na wanaaminiwa kua timamu thus why kukaitwa home of great thinker nitofauti na mitandao minginee.. Kma fb coz nasema hivi itamchukua mtu mudaa kujifunza mazingira ya jf kuliko mitandao mingine..

Pili mimi navyoo ona nenoo mkuu linatumikaa vizuri coz unatambaua mchango wamtu katika threat. Nakumpa heshima yake haijalishi ni mdogo au mkubwaaa..
 
Kuna misamiati mingi sana ya humu nimeshindwa kabisa kuitumia, huo ni mmoja wapo. Sijajua ni kwanini.

Faida yake ni kuwa unaweza kutumika kwa yeyote bila kujali umri, hadhi wala jinsia.
 
KisomaX

Watu wa tanga itabd msitumie neno mkuu maana kwenu ni shida
 
Last edited by a moderator:
Yani kwa kweli neno mkuu ni km legal term ndani ya jf inayodumisha kuheshimiana,kuthaminiana, na zaidi ni brand ya hekima na busara ya jamii yetu watanzania.hivyo linapotumika humu huakisi vyote hivyo nilivyovitaja.na ukitaka kumjua mtu ni member wa jf hata kwa msg za kawaida au maongezi yyte hukosi kusikia neno mkuu toka kwake.

Kusema kwel najickia burudan sana na kuthaminika kwa neno hlo nilipata rafk hum bt nje ya huku tunatumia hilo neno na linadumisha upendo furaha na thaman ya mtu.
 
Mkuu ni Mungu pekee! Ukimpa huo wadhifa mwanadamu ni kama kumuabudu mwenzio wakati yupo anayestahili!
 
Back
Top Bottom