Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Mkuu ndio kila kitu kwenye mitandao ila tukionana physically na mtu yeyote hususani wa jinsia ya kiume huwa napende kutumia neno "KIONGOZI"
 
Ndio awali gani sasa mkuu..umefanya watu wakuite mkuu
Kwa ubunifu wako huu mkuu
 
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
mkuu japokuwa hatufahamian humu ndani lakin tunaonyesha kuwa tunaheshimiana ndo mana tunaitana majina ya kiheshima kama mkuu..pamoja sana mkuu
 
Soma sheria za jamiiforums kifungu cha 6(c) na (d),nanukuu" ni lazima kuitana wakuu ili kulinda heshima ya kila rika"nadhani umenipata mkuu.
 
wakuu yan mm naupenda sana huu msemo, yan mtu ata kama ame coment pumba utaona..."saf sana mkuu"
 
Back
Top Bottom