einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
Hii ndiyo raha ya JF
Hata post ikiwa na miaka 8 Bado itachangiwa tu
Hata post ikiwa na miaka 8 Bado itachangiwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuuHii ndiyo raha ya JF
Hata post ikiwa na miaka 8 Bado itachangiwa tu
mwe! yamekuwa hayo tena!!!!!hatuwezi kupata ukuu anaotafuta Lowasa etc, hivyo heri kujipachika tu
Na kuitana Kiongozi, kumezuka tu Kiongozi.Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
Nimekupata mkuuMkuu ndio kila kitu kwenye mitandao ila tukionana physically na mtu yeyote hususani wa jinsia ya kiume huwa napende kutumia neno "KIONGOZI"
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
mkuu japokuwa hatufahamian humu ndani lakin tunaonyesha kuwa tunaheshimiana ndo mana tunaitana majina ya kiheshima kama mkuu..pamoja sana mkuuNimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?