Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni.
Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa na mdaiwa wa Tsh. Milioni 20 aseme kuwa mnaonewa na kuchukiwa na kwakuwa 99% ya mishabiki yenu ni kipa katoka mrain (majuha) nao wameamini na sasa wanaanza kuilaumu TFF ambayo MINOCYCLINE nasema wako sahihi na nawapongeza kwa msimamo huu wa kikanuni na kiutaratibu.
Hata hivyo msijali sana huyu Tuisila Kisinda wenu atacheza emchi zenu za kirafiki na Wavuvi wa Kigamboni FC, Makuli wa Kariakoo FC na Makondakta wa Malori wa Jangwani.
Hamna Akili.....!!!!!!