Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Kwakweli wanakula kula ovyo mithili ya nguruwe, maana utakuta mtu amejaza vyakula vya wanga, sukari na mafuta mafuta.
Hata hivyo Mkuu kuwa na amani, heshimu kitambi chako😂😂😂, usijali stori za jf
Mkuu Mimi nilishastarabika, kitu kama kin faida mshauri mtu kwa staha, baada ya hapo achana naye, Maana hayakuhusu, kama ni Magonjwa watu wanakufa kila siku na hawana vitambi
 
Mkuu Mimi nilishastarabika, kitu kama kin faida mshauri mtu kwa staha, baada ya hapo achana naye, Maana hayakuhusu, kama ni Magonjwa watu wanakufa kila siku na hawana vitambi
Mkuu Bush Dokta kama nimeongea lugha ya kuudhi samahani sana.
Sina nia ya kukwaza watu hapa
 

Kwa jamii yoyote yenye umasikini uliokidhiri, Kupata milo mitatu AU kula fast food huonekana ni fahari (maendeleo)
Ila uchumi ukianza kutengemaa, ndio mtu anakuwa na nafasi ya kufikiri ale nini
KWA HIYO SUALA LA UNENE SIO LA WAAFRIKA BALI NI UMASIKINI. HATA HUKO ULAYA NA MAREKANI JAMII ZA WATU WENGI WA NENE KUPITILIZA NI ZILE MASIKINI ZINAZOISHI KWA KULA FAST FOOD
UCHUMI WA FAMILIA UNAVYO ENDELEA KUIMARIKA WATU HUANZA KUANGALIA NINI WALE NA NINI WASILE.
 
Japani na Marekani umeme hakuna kwa sababu kuna maendeleo sana
 
Facts
 
Mkuu Mimi nilishastarabika, kitu kama kin faida mshauri mtu kwa staha, baada ya hapo achana naye, Maana hayakuhusu, kama ni Magonjwa watu wanakufa kila siku na hawana vitambi
Ignorant mindset haitajusaidia kama unaona sio faida kwako kwa wengine ni faida
 
Sahihi kabisa mkuu, umaskini uko linked na bad food choices
 
Mi wanaume wanene siwapendi kwa kweli na vitambi vyao, Huwa wanaviharufu flani hivi, ukija kwenye jasho ndo usiseme mkiwa kwenye sex unalowa jasho lake na ukizubaa unalinywa kabisa💃💃💃
 
UMASIKINI ndio unafanya waafrika waone unene ni utajiri. Kula kula sana mara baada ya kupata vijisenti, yes vijisenti watu wenye pesa madolari hawali hovyo hovyo kama kuku na kunenepeana kama tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…