Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

Mi nilishashtuka,mnene halafu hela sina,yani mateso juu ya mateso siku hizi napiga tizi balaa...
 
Mi wanaume wanene siwapendi kwa kweli na vitambi vyao, Huwa wanaviharufu flani hivi, ukija kwenye jasho ndo usiseme mkiwa kwenye sex unalowa jasho lake na ukizubaa unalinywa kabisa💃💃💃
Kumbe😂😂 ila unene nao shughuli kweli.
 
Nenda Moshi ukaone vifriji siyo wanawake siyo wanaume.
Watu kule wana pesa na wanakula na kunywa kwa raha zao.
 
UMASIKINI ndio unafanya waafrika waone unene ni utajiri. Kula kula sana mara baada ya kupata vijisenti, yes vijisenti watu wenye pesa madolari hawali hovyo hovyo kama kuku na kunenepeana kama tembo.
Kweli kiongozi
 
I know wapo ila huku hakuna rate maana ni karibuni every adult ana obesity..

Namaanisha kuwa huku hata ile awareness kuwa hii ni obesity inaweza kuwa ignored kwa sababu unene ni fashion
Na bado licha ya awareness nchi tajiri kama USA ni obese kuliko Tanzania tena wametuacha mbali sana
Halafu Tanzania wanapohusisha unene na maisha mazuri sidhani kama wanamaanisha obesity ya kiasi hicho kama picha ulizopost. Huo unene uliopost hapo hata Watanzania hawaupendi
 
Sawa mkuu, ila hata mild obesity is still obesity isiwe kisingizio
 
Unajilinganisha na nani?
 
Waafrika ukinenepa kama wewe sio maarufu ni ishara ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…