Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

Waafrika tunakula sana lakini siyo chakula cha afya kwa mwili.

Mfano mtu kila siku ugali na samaki, wali maharage.
Wezungu wengi wana kula sana ila chakula tofautitofauti kilicho na afya
 
Halafu huli tena mpaka unalala?.. Sili sana lakini imani ya kula virutubisho vya muhimu pekee sina, nikila tumbo linatakiwa lihisi tofauti kidogo.
Ule yai na ndizi halafu ulale 😁

Nikila Chips tu usingizi nautafuta Kwa tochi, Sasa itakuwaje nile Yai na ndizi
 
Uko sahihi mkuu, afrika tunakula tunachopata, siyo tunachotaka
 
Hiyo kula mara Kwa mara ndio hatari zaidi ya mtu anaekula mara Moja.


Unapokula mara Kwa mara mwili unakuwa kwenye Insulin mode inayoblock kutumia Kwa Stored Fats kama source of energy.

Kwa kifupi mwili wako hautakuja kuchoma mafuta yaliyohifadhiwa kama chanzo cha nishati. Kwasababu mwili utakuwa unatumia primary source of energy ( unachokula) kama nishati.


Ndio maana huko Marekani wanawake wana vitambi na wanaume hususani black Americans wamekuwa kama manguruwe
 
Kwa nini uwafananishe na "manguruwe" na siyo greasy bears?
 
Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Kukosa hamu ya kula ni Tatizo.


Kama mwili upo vizuri ,metabolism ipo sawa kwa vyakula hivi tunavyokula havina shida.

America ndiyo shida ,wanakula Junk foods na si organic ,huku kwetu vyakula tunavyolima ndani havina shida ,shida si kula shida watu hawafanyi mazoezi ,hawajishughulishi ,wanakula chakula ambacho hakitumiki mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…