KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Africa tuna upungufu wa vitendea kazi hivyo sehemu kubwa ya shughuli zetu tunazifanya manually kwa kutumia direct miili yetu.......Unakuta jitu linakula msosi mkubwa kama mombe😁View attachment 3696709
Anywe na dawa za minyooMwili haujengwi kwa matofali.
Hii ni menu ya mtu mmoja au wawiliView attachment 3696712
Bila kula no LIFE
Mtani hebu toka hapa we naae. Khaaa.Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Hebu tuacheni jamani.Unakuta jitu linakula msosi mkubwa kama mombe😁View attachment 3696709
Mi hata sijui kwa kweli. Imetokea tu.😁😁 Nini kinawafanya mpende kula sana?
Ewaaa.Kila mmoja anajikadiria kwa mujibu wa njaa yake. BTW sote tunaingia msalani ,sio!
Kwa kuwa tuko wazima si tule tu Mkuu.View attachment 3696712
Bila kula no LIFE
Hili halipingwii mkuu 😁Kwa kuwa tuko wazima si tule tu Mkuu.
Yah! Wale wanaojikatili wakifuata nyayo za Janabi tuwakumbushe tu maradhi yakitaka kuja yanakuja tu aisee.Hili halipingwii mkuu 😁