Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hii comment yako kwa ukiingilia kwa jicho la tatu ina mdharirisha sana mwanamke,

inaonesha kuwa mwanamke ni kiumbe kisichojielewa na hakina maamuzi juu ya mwili wake.
 
Hehehehe naona hauna majibu umebaki unapuyanga tu yaani unaonekana kanisa ukweli unaujua ila hautaki kuukubali huo uovu ninaouongelea ni ule ulioainishwa kwenye vitabu vitakatifu hivyo nikisema uovu nadhani naeleweka halafu kuhusu swala la kukemea maovu kwenye jamii yaani hilo hata msiongee maana hapo wote wanaume na wanawake tumeshindwa kudhibiti maovu ya kila jinsia

Kwahiyo wote tukae kimya tu na ndicho nilichosema kwenye uzi kwamba wanaume muache kushupalia maovu yetu kama wanawake tulivyoacha kushupalia maovu yenu maana hata mkiyashupalia haisaidii kitu na haibadilishi ukweli kwamba mnapiga kelele tu kwahiyo ambia wanaume wenzio pamoja na wewe acheni kubadilisha vitu msivyoweza kubadilisha
 
Hiyo ilianzishwa baada ya wanaume kuanza kuwanyanyasa wanawake na kuwahudumia kwa masimango hivyo wanawake wakaona isiwe taabu acha na wao waanze kujitafutia vya kwao
Sasa kwanini wanawake nao wameingikia majukumu yetu ya kimaumbile ? Nani aliwaambia na nyinyi mtafute hela kwa jasho ? Nyinyi mnapaswa mkae nyumbani mzae sisi tuwaletee hela.
 
Ukimaliza kuuliza hayo maswali yote na wewe jiulize hili swali moja tu kwanini wanaume mnafanya yote hayo kwa ajili ya wanawake??
Tunafanya hayo kuisaidia jamii ambayo wanawake ni sehemu yake.
 
Hatujitutumui ila tunawaambia ukweli mtuache
Suala la dhambi hili ni baya kwetu sote,haliangalii nani wala nani.

Tatizo linakuja pale mnapotaka kujitutuma na kulingana na sisi.

Tujikite kwenye mada.
 
Mwisho wa siku mtakaa tu. Sisi ndiyo midume a.k.a mabaharia..
Ukweli haupimwi kwa kuangalia nani kashinda bali wenyewe upo tu hata kama watu wote wakiukataa au wakiuficha bado utabaki kuwa ukweli tu na hautabadilika
 
Hivi kwenye utawala kuna mtu anayepinga kwamba mwanaume ndiyo mtawala na mwanamke ndiyo mtawaliwa??
Hoja yangu haisimamii katika uovu, read me well. Hakuna mwenye mandate ya kumuumiza mwenzake kwa kujiona yeye superior, hoja yangu ipo katika nani anayemtawala mwenzake.
 
Elezea jinsi utandawazi ulivyowafanya wanawake wawe kama bidhaa
Utandawazi umekuja na faida zake na hasara zake ni kubwa kuliko faida zake,miongoni mwa hasara zake ni kuwafanya wanawake wawe kama bidhaa,hili hawalioni na wamefanywa wajinga na kufikiri kwa upande mmoja.

Hapa wakusamehe wewe na wa mfano wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…