Hahahaha unakwepa hoja mkuu
Yan Huyu mwanamama anazidi ku prove yeye ni mdhaifu sana... Akili yake imejaa negative things.... Afu Anataka kuji compare na wenye mamlakaHii id imekaa kwa Ku attack attack....bring back former ID na former Avatar....
OP: please hata kama unaonekana kupingana na watu wengi isikuingie akilini kuwa uko negative mpaka ukaanza kutengeneza mitazamo hasi watu wa Ku imagine kuwa uko hivi ktk maisha ya kawaida. Usiadili id ili ujenge negativity ktk mental picture za watu...One Love
Hehehehe naona hauna majibu umebaki unapuyanga tu yaani unaonekana kanisa ukweli unaujua ila hautaki kuukubali huo uovu ninaouongelea ni ule ulioainishwa kwenye vitabu vitakatifu hivyo nikisema uovu nadhani naeleweka halafu kuhusu swala la kukemea maovu kwenye jamii yaani hilo hata msiongee maana hapo wote wanaume na wanawake tumeshindwa kudhibiti maovu ya kila jinsia
Kwahiyo wote tukae kimya tu na ndicho nilichosema kwenye uzi kwamba wanaume muache kushupalia maovu yetu kama wanawake tulivyoacha kushupalia maovu yenu maana hata mkiyashupalia haisaidii kitu na haibadilishi ukweli kwamba mnapiga kelele tu kwahiyo ambia wanaume wenzio pamoja na wewe acheni kubadilisha vitu msivyoweza kubadilisha
nahisi huyu ni mtu mwingine sio Mariannah. huyu hana ubongo kabisa.Unazidi kuonyesha upumbavu wako yani hujiamini, na unajihisi hisi et umebadili I.D ili Tufute imagination... We kwel umejawa ujinga mwingi.. Unatafuta namna ya kuonyesha uwepo wako Kupitia upumbavu wako.
..
Hapo sijafananisha viwili hivyo,soma vizuri utaelewa.Unafananisha kitendo cha kumwaga mbegu na shughuli ya kubeba mimba kuzaa na kunyonyesha??
Vizuri.Hapana siyo mimi
Sio "Usiku wa manane" sahihi ni "Usiku wa Manaani"Akalale.
Tumemchoka...Mtu gani hachoki..amekomaa Hadi usiku wa manane huu[emoji23][emoji23]
Mwenyewe Niko Denmark kwa Mtogole tuwasiliane aiseeeShaur yenu mimi Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu
Endelea kufanya uhanarakati wa usawa
Mtanyooka tuu
Mwanaume Sio Sawa na mwanamke
Ni "Maanani" chief.Sio "Usiku wa manane" sahihi ni "Usiku wa Manaani"
Madhara yanayoweza kutokea anaweza kuwa na akili za kitoto na kuchekacheka kama shoga.Mimi nimeshaolewa na mume wangu siyo sex maniac na hata yeye huwa ananiambia kuwa asinidanganye mtu dunia hii hakuna mwanaume asiyeweza kujizuia kufanya ngono KILA MWANAUME ana uwezo wa kujizuia kufanya ngono ila tu wanaume wanatumia tamaa zao kujiendekeza halafu wanatumia kama visingizio na labda wewe unaweza kunijibu mwanaume akikaa muda mrefu bila kufanya ngono anapata madhara gani makubwa?? Yaani yale madhara kama kuumwa au kufa ambayo mtu anaweza kuyapata asipokosa vitu kama chakula huwa mnayapata??
tatizo lako unasoma comments juu juu bila kutaka kuelewa. hizo treatments zimekua injected kwa wanaume kutokana na mafundisho ya kijamii. ndo mana mkurya atapiga mwanamke akihisi ndio njia sahihi ya kumnyoosha, na mwanamke wa kikurya ameshaaccept hio kitu. tunarudi kule kule kwenye social constructs.
Umeongea vizuri sana.Social constructionism is a theory of knowledge in sociology and communication theory that examines the development of jointly constructed understandings of the world that form the basis for shared assumptions about reality.
Mifano ya social constructs (mambo tuliyojijengea na kukubali kama social standards katika jamii)
1. mwanamke akiwa na wanaume wengi anaitwa malaya, mwanaume anaitwa kidume, na unakuta hata mamaake anafurahia moyoni. na sometimes unakuta mama mzazi anawaambia rafiki zake "huyu akikua atakuja kuwasumbua wadada, kisha wanacheka"
2. binti haruhusiwi kukaa nje kadi usiku, mtoto wa kiume anaweza kukaa hadi saa tano usiku, akarudi nyumbani bila kufanywa kitu chochote.
3. mtoto wa kiume anajengewa chumba chake cha nje, mtoto wa kike lazima akae kwenye main house
4. mtoto wa kike akipata mimba ataadhibiwa na anaweza akafukuzwa kabisa nyumbani, mtoto wa kiume akimtia binti mimba hawezi kufukuzwa nyumbani
hata wewe ukizaa mtoto wa kiume utaziendeleza hizi standards. amini usiamini. usipoziexpress wewe, ulimwengu utamfundisha how things run in the world.
kumbuka, sihalalishi uovu wowote, naelezea tu source ya haya yote.
Hii id imekaa kwa Ku attack attack....bring back former ID na former Avatar....
OP: please hata kama unaonekana kupingana na watu wengi isikuingie akilini kuwa uko negative mpaka ukaanza kutengeneza mitazamo hasi watu wa Ku imagine kuwa uko hivi ktk maisha ya kawaida. Usiadili id ili ujenge negativity ktk mental picture za watu...One Love
Huyu dada hata Mimi sijamuona muda mrefu.Halafu cute b sijamuona muda jamani sijui kapotelea wapi
Hivi unajua challenges zinazopata hizo kampuni zenye 2 CEOs? kukiwa na conflicts ambazo two CEOs can not agree on something huwa kunahitajika mtu atakaetoa final say.
sasa huyo CEO mwenye uwezo wa kutoa final say ili conflict iishe ndo Dominant CEO, na ndo mana nasema CEO atabaki kuwa mmoja tu, fanya delegation ufanyavyo ila there will always be someone who has a final say. na ndo hivyo hivyo kwenye familia
Basi huwa hupitii mada za zamani zamani.Basi ndiyo maana simjui hauwezi amini ndiyo mara ya kwanza namuona
Tofauti Yao hawa.Kwani Nyenyere kaingia lini??