Hata ninyi wanaume siyo jukumu lenu kushupalia maovu yetu wanawake na kama lingekuwa ni jukumu lenu basi mngeshafanikiwa halafu aliyekwambia mimi ni mtumwa kwa mume wangu ni nani??Majukumu ya mwanaume ni pamoja na kukutawala. Na wewe jukumu lako ni kutawaliwa.
Hayo ya mwanaume kufanya uovu sio wajibu wako wewe mtumwa kuuliza habari za Bwana wako.
50/50 itafuteni tu wenyewe. Duniani si mnatuzidi namba. Endeleeni tu.Ndiyo sasa kama haiwaumizi mnaipinga ya nini si muiache??
Hahahaha..[emoji23][emoji23]mmhh Saint anne mbona sijawahi kuambiwa haya yote directly mimi jamani?? Kweli ujio wa huyu dada ume unleash mambo mengi yaliyojificha!![emoji1787][emoji1787]
Cariha if you don't mind can I ask you this??
Are you a Kenyan??
Sijui ana matatizo gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]hako nako sijui hakajielewi
[emoji1787][emoji1787]kwanini aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asante sana huu ni mwanzo mzuri tu wa lengo langu kutimia nimebadili id makusudi sababu naona ile nyingine lile jina lilivyo zuri plus ile avatar watu walianza kutengeneza imaginations zao wenyewe kwamba mimi ni mzuri kama Ariana Grande wakati mimi ni mbaya kama Ogre
Nikaona sasa huku wanakoelekea siko ngoja nitafute id inayotisha halafu avatar nisiweke picha ya mdada mzuri ili wafute hizo imaginations sasa na wewe ulivyosema kwamba id hii ya sasa ni mbaya nimefurahi maana sasa hatimaye nitaacha kuattract watu for nothing!!
HaweziAbadilishe mitazamo yake basi
wapo. mtoto wa kiume atapewa condoms, mtoto wa kike atafungiwa ndani.Umeongea vizuri sana.
Ila Hiyo point ya kwanza (1) ...Kama Kuna mzazi anafurahia mwanae wa kiume kuwa na wanawake wengi Basi Ni mzazi wa hovyo kupata kutokea.
Hii siijui ni vyema ukanijuza.Hivi ilikuwaje mpaka wanawake wakaanza kujiuza ?
Nakuja kuendelea hapa nilipoishia.
Kwani kasema tusikosolewe? Ila nyie mnataka 50/50 ambayo haipo.Ndiyo kwenye maovu wote sawa tu na hata maandiko ndivyo yanavyosema na hata huko mashuleni pia kuwa prefect siyo ticket ya kufanya makosa na kutarajia asikosolewe
Hakuna mabadiliko yoyote ukilinganisha na nguvu mnazotumia tena zaidi mimi naona wanaume ndiyo wanabadilika kwa kiasi kikubwa sana dunia ya sasa wanaume wengi wanatoka kwenye unyanyasaji wanaenda kwenye uongozi wa haki ila kwa upande wa wanawake naona spidi ya kwenda mbele ndiyo inazidi kuwa kubwauna uhakika gani maovu ya wanawake yakiongelewa haisaidii?
Sasa muuzaji na mnunuaji wote ni mala.ya.Kwanini nyinyi msiungane kupinga kuuza. Sisi tunanunua kwa sababu zipo zinauzwa.
Hiyo unajua wewe bwana.Sio "Usiku wa manane" sahihi ni "Usiku wa Manaani"
Unazidi kuonyesha upumbavu wako yani hujiamini, na unajihisi hisi et umebadili I.D ili Tufute imagination... We kwel umejawa ujinga mwingi.. Unatafuta namna ya kuonyesha uwepo wako Kupitia upumbavu wako.
..
Sio "Usiku wa manane" sahihi ni "Usiku wa Manaani"
Ohoo..kumbe hata yeye amekosea[emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni "Maanani" chief.
Basi hao wazazi ni wa hovyo kabisa kupata kutokea.wapo. mtoto wa kiume atapewa condoms, mtoto wa kike atafungiwa ndani.
Hao wawili niliowataja wanakuzidi mbali sana kiupeo.
Hata jinsi wanavyo shiriki mijadala tu hawako kama wewe. Akili zao zimetulia sana
Hawako too sensitive and emotional kama wewe.
Hawana argumentation chains mbovu mbovu kama ulivyo wewe ambaye karibia kila hoja unarudia maneno yale yale tu na huku ukijibu kwa mkato mkato hata pale unapotakiwa kutoa ufafanuzi wa kina.
Hawana kawaida ya kutoa majibu yaliyo njee ya mantiki, tofauti na wewe ambaye karibia kila jibu unalotoa linakuwa out of context ya kile ulichoulizwa.
Wanajua kujenga hoja na kuitetea tofauti na wewe ambaye haujui hata kuitetea hoja yako mwenyewe, unatoa hoja kisha baadae unakuja una ji contradict mwenyewe.
Hawana midomo michafu na kuandika andika matusi ovyoo mitandaoni mithili ya chokoraa kama ulivyo wewe.
Angalau wanajua hata wanachosimamia na kukitetea tofauti na wewe ambaye hata haujui unasimamia wapi halafu unajikuta mjuaji.
Kiufupi hao wawili wako smart kwenye majadaliano, hoja zao wanazojenga zina nguvu na zinafikirisha na wala sio nyepesi mithili ya karatasi ambazo nimeziona wewe ukiziandika hapa.
Mwisho kabisa jitahidi ukue bado una utoto mwingi sana wa kupayuka payuka tu na panick za ajabu ajabu.
Yeah wakati naandika hiyo comment nilikuwa sijaiona hiyo comment yako ya social constructs ndiyo ni kweli jamii ndiyo imeshakuwa hivyo na imeshajua kwamba inakosea sasa tena kwanini wanatafuta sababu za kuendelea kulinda na kutetea hayo makosa??
Hoja ni ipi hapo.
Wewe unasema Ati huyo Suleiman Aliua. Unashindwa kuelewa majukumu ya Mfalme mpaka unaongea kama mtoto. Nami nikakujibu kuwa hakuna mfalme ambaye hajawahi ua. Labda wewe unitajie unayemjua.
Kuhusu Historia au Vitabu vya dini naomba usiguse kwa maana unaonekana huna ujualo.