Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hapana mkuu hizo sababu ni ndogo sana katika kusababisha maovu ya wanawake

Sababu kubwa na namba moja ni hii MITAZAMO YA JAMII kwa sasa nimechoka nitaelezea kesho hivyo naomba niishie hapa tu kwanza
 
"Ni mwanamke mjane tu ndiye anayejua mume wake yuko wapi"

Hiyo fact vipi nayo??
Usha leta vifo apa so tuna mfu na mtu hai sawa na...Ivi kwan wanawake (Mke) hawafi?....kama akifa mwanaume nae inakuaje? hujanijibu swali langu la baba halali
 
Nenda kwa maandiko yote kuanzia Holy Scriptures na vingine vya kawaida ukasome kwanza ndio uje....rather u better shun ur mouth kuliko kubishana na vitu ulivyo vikuta na utaviacha wenzio walivikuta na wakaviacha wewe ni nani ata??
Kwahiyo wanaume mmeruhusiwa kufanya maovu mnavyojisikia??
 


Ndio angekubali tuu kumsikiliza si mke wake.

hata baada ya Mungu kumpa Mamlaka Mwanaume baada ya anguko kama unavyosema mbona Mwanaume mara kadhaa Ameamua kusikiliza sauti ya Mwanamke hata kama yeye ni mtawala.

Mfano Nabii Ibrahimu aliambiwa na Sarah Mke wake amfukuze Hajiri mjakazi wake.

Ibrahimu alitaka kugoma lakini Mungu akamuambia amsikilize Mke wake pamoja na kuwa Ibrahimu ndiye mtawala.

Nimekuambia bado hujui kuhusu Mambo ya Utawala. Yaani kama unawaza kuwa Adamu aliambiwa amtawale Hawa baada ya anguko utakuwa unashida mahali
 
Reactions: Cyb
Noted
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanza wewe hao wanne wote nguvu unazo? Jamani wanaume nyie lool
Kuhusu nguvu ninazo,hilo halina shida kabisa mpaka za ziada.
 
Hakuna Mwanaume anaweza kuwa na roho kama ya wanawake wanaofanya Abortion. Yaani wanaoua vichanga au kuwatupa chooni au mtaroni na kusepa.
Unawazungumziaje wanaowashawishi wapenzi wao kutoa mimba? Na pesa wanatoa kugharamia process
 
umeongea kimihemuko zaidi. Mi nimeelezea matokeo ya mafundisho ya dini katika maisha ya kijamii. Kitabu kitakatifu ni kitabu cha Mungu, na ndo mana nimesema mumlaumu Mungu.
Unamlaumu vipi Mungu wakati kitabu kimeandikwa na mwanadamu ambae ni mwanaume? Maandiko mengi ya biblia ni upuuzi mtupu. Ni ambao hawana upeo wa akili wataendelea kuyaamini. Yapo ya maana lkn sio yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…