Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya mbinguniKuhusu nini??
Hapana mkuu hizo sababu ni ndogo sana katika kusababisha maovu ya wanawakeKuna sababu tofauti tofauti.
1)Tamaa ya kila mwanaume mzuri mathalan wamachame ama warangi kila mtu mzuri wanamtaka wao inawafanya waweke mitego ya kila aina hadi ukaaji uchi na kutokana na uzuri wao kidume unajikuta unategeka.
2)Ugumu wa maisha hupelekea baadhi ya wanawake kuuza nyuchi zao.
3)Poor mindset ya kutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwenye hela mwishowe inapelekea mwanamke kutumika na kuachika.
Hizi ni sababu kuu hupelekea kutokea yale uliyoelezea kule juu.Na humu ndani ya hizo sababu huzaliana mambo mengi sana kiasi ya kuathiri saikolojia ya mtu na kupelekea mtu mazoea kujenga tabia.
Usha leta vifo apa so tuna mfu na mtu hai sawa na...Ivi kwan wanawake (Mke) hawafi?....kama akifa mwanaume nae inakuaje? hujanijibu swali langu la baba halali"Ni mwanamke mjane tu ndiye anayejua mume wake yuko wapi"
Hiyo fact vipi nayo??
Kwahiyo wanaume mmeruhusiwa kufanya maovu mnavyojisikia??
Unaona sasa ambavyo wewe mwenyewe ndiyo unashindwa kunielewa halafu unalazimisha kwamba mimi sijui sasa wapi nimesema kwamba Adam hakuumbwa kutawala kabla ya andiko??
Aliumbwa kutawala lakini je Mungu aliwaambia kwamba ndivyo inavyotakiwa iwe na bila kuwaambia unadhani wangejuaje??
Na kama huyo Adam angekuwa anayajua hayo mamlaka yake angekubali kushawishiwa na huyo Evah kula tunda??
Nijibu hayo maswali yangu yote na usilazimishe kwamba mimi sijui maana hata mimi vile vile naweza kusema wewe haujui kitu kuhusu maandiko na kila mtu akajiona yuko sahihi kwa upande wake so just stick to the topic!!
Nina mashaka na hicho kiswahili ulichosema umekisomea na umebobea, rudi tena darasani.
Noteddunia hii kuna vitu viwili huwezi kupambana navyo muda na wanaume, wanawake ni dhaifu hata wewe unalijua hilo , binafsi nakushauri tafuta mwanaume wa tabia unayopenda uishi nae maana muda utakuacha ukiendelea kufikilia na kujilinganisha na mwanaume then utakuja baadae kuleta post za lawama pale unapo fikia menopause huwez kuzaa unabaki unalialia tu, alafu wanaume size yako bado wanadumu na kuzaa na vitoto ambavyo wew unaweza kuvizaa ndio dunia hii dada we are not the same.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanza wewe hao wanne wote nguvu unazo? Jamani wanaume nyie loolVita haitakuwepo kabisa,amini nikwambialo kila mmoja ana cheza nafasi yake.
Kuhusu nguvu ninazo,hilo halina shida kabisa mpaka za ziada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanza wewe hao wanne wote nguvu unazo? Jamani wanaume nyie lool
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Hebu ukoooKuhusu nguvu ninazo,hilo halina shida kabisa mpaka za ziada.
Unawazungumziaje wanaowashawishi wapenzi wao kutoa mimba? Na pesa wanatoa kugharamia processHakuna Mwanaume anaweza kuwa na roho kama ya wanawake wanaofanya Abortion. Yaani wanaoua vichanga au kuwatupa chooni au mtaroni na kusepa.
Huamini au hutaki ?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Hebu ukooo
Nawe unajiita genius loh maajabu hayakuna yule kicheche kwenye maandiko anaitwa Maria , Maria alikua malaya hiv ulishawai kujua jina la bwana yake waliokua wanazini pamoja?
Hiyo nayo ni hoja? Unautia aibu uanaume wakoNimejitahidi nimesoma yote,lakini mtoa mada hivi umeolewa?
Unamlaumu vipi Mungu wakati kitabu kimeandikwa na mwanadamu ambae ni mwanaume? Maandiko mengi ya biblia ni upuuzi mtupu. Ni ambao hawana upeo wa akili wataendelea kuyaamini. Yapo ya maana lkn sio yoteumeongea kimihemuko zaidi. Mi nimeelezea matokeo ya mafundisho ya dini katika maisha ya kijamii. Kitabu kitakatifu ni kitabu cha Mungu, na ndo mana nimesema mumlaumu Mungu.
Wapo nyoro nyoroooMimi nafata data za kiuchunguzi wanaume mumezidiwa vingi na wanawake Kwa sasa angalia idadi hata ya vijana wakiume hovyo hovyo tu hawana mbele wala nyuma.