Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Kwa hiyo kuwa juu yetu, au kuwa mtawala ndio inawapa uhalali wa kufanya dhambi?
Au ndio mkifanya dhambi zinageuka kuwa "haki" huku zetu wanawake zinaonekana kinyaa?
 
Hivi nyie mkiacha kuuza, tutanunua wapi?
Mkigoma kutoa mbunye kabla ya ndoa sisi tutapata wapi?

Endelea kujilinganisha.

By the way usiyachukulie serious sana maisha ya JF
Kuna biashara yoyote inayofanikiwa bila kuwa na wanunuzi?
Mnavyoonekana kukerwa na wanawake wanaojiuza nilitegemea kwa pamoja muungane mpinge kununua lakini sio mnanunua baadae mnakuja kuhubiri dhambi zetu.
 
Wanaume kila uchwao mnafungwa kwa kulawiti, kubaka na kuua watoto.
Mnawatoa mimba mlowamimba,mnawakimbia watoto wenu baada ya kumimba huko, nk nk nk nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mlowamimba nini


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani wanaume kuwamimba wanawake inaonekana sawa ila wanawake kumimbwa inaonekana kosa
 
[emoji16][emoji16][emoji16]imebidi nicheke, kwahyo mimi ambae sisomi maandiko simuamini Mungu? Yani kila kitu niamini na hayo maandiko yana edition tofauti tofauti ni Mungu au mwanadam anayoifanya hiyo Edition? Chuja linalofaa kwenye maandiko na uamini hvyo sio kwa sababu tu ni maandiko ndio uamini na kufanya kila kitu.
 
Tatiza lako haujasoma uzi wangu wote kuna sehemu nimesema naamini katika Mungu na dini ninafuata maandiko na pengine ninayajua maandiko kuliko hata wewe ila sijaona andiko linalomruhusu mwanaume kutenda dhambi labda uniletee wewe
 
Umeeleza vyema kabisa tatizo wengi wanajihesabia ukamilifu wanasahau nao n binadam na wanatenda kama ilivyo kwa wengine.
 
Hapo kwenye Eva kumpindua Adam ili awe kama Mungu,, ushahidi wako nausubiri hapa
 
Ndo mana nakwambiaje, ni mfumo uliwekwa kupitia vitabu vya Mungu jinsi ya mwanamke na mwanaume wanavyotakiwa kubehave kwenye jamii.

Huo mfumo unaotaka wewe uwepo inabidi uwekewe utaratibu wake ili usije ukakinzana na mafunzo ya kwenye dini.

kwa sababu mtoto wako wa kiume akipelekwa mafundisho atafundishwa misimamo ya kibiblia kuhusu wanawake na wanaume katika jamii.

akirudi mtaani na akienda shuleni anakutana na misingi mipya ya iliyowekwa na utandawazi.

akikaribia kuoa, mama mzazi anampa lisala kuhusu wanawake. yani mama mzazi anaogopa mtoto wake wa kiume asipelekeshwe na mke wake na anataka ahakikishe mtoto wake wa kiume ana uwezo wa kumtawala mke wake.

mwanamke huyo huyo anaelilia usawa, ndo huyohuyo anaemnong'oneza mtoto wake wa kiume asipelekeshwe na mke wake. Na akijua mtoto wake anatawaliwa, atavuruga tu hio ndoa.

Cariha rafki angu haya mambo yanakinzana sana.
 
[emoji120][emoji120]shukrani sana mkuu barikiwa
 

aisee.. hili nalo tatizo.
 
Na siku mkifanikiwa kuyarekebisha maovu ya wanawake kwenye jamii mtatuambia
Kama kivumishi kikurupushi

Karibu Denmark tule bata nitaoa badae sanaaaa

Kwa hali hii????

Siku mkipata usawa mtaniambia
 
Na wala hakuna anayetaka usawa ila huo utofauti haupo kwenye dhambi
Hapa Denmark huo usawa mnao lilia haupo

Ni kipaombele tuu wanapewa ila Hakuna usawa kabsaa

Kuna kipindi nlikua Canada nako ni hivo hivo

November ntakua tz
 
Sikujua kama wanaume wa jamiiforum(jf) wanaijua biblia namna hii aisee wote leo mnaijua dini na historia vilivyo, ajabu ni kwamba mnashindwa kuiishi historia mpaka tunajipambanisha na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…