Nakuzingua mrembo,mimi nipo humu ila wewe ndio uliadimika aisee,nimekuafuta sana lakini wapi.Pole sana glad ur back hawa wezi washenzi sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuzingua mrembo,mimi nipo humu ila wewe ndio uliadimika aisee,nimekuafuta sana lakini wapi.Pole sana glad ur back hawa wezi washenzi sana aisee
Kambi imekamilika siyo..Thread inatembea hatari..
Leo majeshi yameongezeka ..hayupo Marianah pekeyake [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Kuhusu ugunduzi wa mambo mengi nayo hyo hoja haina mashiko maana tangu zamani wanawake hawakuruhusiwa kufanya mengi au kwenda shule so hyo haishangazi au kufanya eti mwanaume ndo wako ahead. Ingekuwa tangu enzi za kale wanawake wanapewa same platform ingekuwa sawa kulinganisha ila mabadiliko ya haki sawa yameanza juzi sio hyo sio hoja ya kujifanya wanaume ni genious hyo to me ni big no kabisa ni sawa na mlemavu kumshindanisha na mtu mzima Kwa mbio.Wow!! Nimependa sana mitazamo yako mwanadada.
Eti ni kwanini hapa Afrika tuna mabilionea wa kiwango cha dunia wawili tu wa kike wakati wa kiume wako 34?
Pia ni kwanini asilimia 98% ya technological innovation hapa duniani imefanywa na wanaume na sio wanawake ?
Pia Kwanini hiyo sanitary pad uliyoivaa inayofonza damu huko chini mgunduzi wake ni mwanaume na sio mwanamke?
Pia kwanini vitu kama epidural na contraceptive pills ambazo ni kwa ajili ya faida ya mwanamke vimevumbuliwa na mwanaume wala sio mwanamke mwenzenu?
Pia Kwanini ukitaka kujenga nyumba akili yako inakutuma umtafute Hassan, John au Isaya ndio anyanyue tofali na wala sio Esther, Aisha au Mariamu?
Pia kwanini gari yako ikipata mzinga ukienda gereji kuinyoosha lazima uwakute akina Deo, Michael na wala sio akina Joyce au Merry ndio wakunyoshee?
Pia kwanini unapotaka kuajiri mlinzi wa nyumba yako unaenda kuajiri akina Vidume na wala sio wanawake wenzio?
Pia kwanini kwenye matangazo mengi ya kazi huwa tunaona sana hii statement "women are highly encouraged" na sio "men are highly encouraged" ikiwa kama wote tuko sawa?
Pia kwanini kwenye ajari yoyote ile rescue team huwa wana focus kwanza na wanawake na watoto kisha ndio wanakuja wanaume?
....nina maswali mengi sana kufuatia hii kauli yako ngoja nipumzike kwanza
Shehe kumbe na wewe humo..Nakuzingua mrembo,mimi nipo humu ila wewe ndio uliadimika aisee,nimekuafuta sana lakini wapi.
Kuna huyu cariha namlia timing hapa,naona nae mbishi mbishi nimtie adabu.Thread inatembea hatari..
Leo majeshi yameongezeka ..hayupo Marianah pekeyake [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
hamna sio yesu, ni kampen yako ya kutetea wanawake wenzako....wangu Yesu yu hai
Sijapaniki tuna jadili tu maana mie wanaume naokutana nao uelewa wao mpana huwezi kukuta wanataka mashindano na wanawake tofauti na wavulana wa humu.Hahahaha!!! Mkuu usipaniki tunajadiliana tu. Halafu usipende kuwa judgemental hasa kwa watu ambao huwajui vizuri. Unajuaje kama siwezi hata kutengeneza chupi?
Mungu unaemuabudu umemjulia kupitia biblia hii hii ambayo inawafeva wanaume. unajua mda mwingine tukubali facts, haina haja ya kubishana.View attachment 1208094View attachment 1208095View attachment 1208096
Huyu nilitaka awe mke wangu wa nne,lakini akanikataa,sasa leo nimemuona nikasema nimsalimie.Shehe kumbe na wewe humo..
Hilo swala na haki sawa lazima ufikirie beyond sio huku wa Africa mnaamini kuonea mwanamke na kumfanyia uchafu ndo uanaume tu, na hamtaki kuheshimu wala kuwaruhusu wawe huru wakati ni binadamu. Mnabaki kukumbatia mambo ya kale ya zama za ujinga ka sikuhizi watu wanatumia magari instead of walking why still discriminating women's why?Safi sana,nakupa mfano mmoja tu ili unionyshe namna gani unaweza kufikiria nje ya box. Japo uko nje ya mada.
Hivi unaweza kufijiria nje ya box juu ya jambo la haki sawa na kufanana kwa haki ?
Ha ha haa unavyo rahisisha sasa kumbuka tu hata hivyo vifa vimetengenezwa piaYani wewe unalinganisha usawa wakupandisha engine Kwa dunia hii ya technology no need of using nguvu ya ugali kuna vifaa vya kunyanyua tu chap chap. Usawa hauangaliwi Kwa nguvu ya ugali zaidi ni kutumia akili kurahisisha maisha
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani aliyesema dhambi za wanawake na za wanaume ni tofauti?? Wewe ndiyo uliyesema hivyo kwahiyo niletee andiko kutete hoja yako usijifanye una matusi sana sie wengine matusi kwetu salamu hakuna jipya!!Mbona wewe kamongo hukuja na bandiko linalosema dhambi za wanawake ni tofauti na dhambi za wanaume...
Unapanic nini hebu tuliza kipapa we mchumba wangu usilazimishe watu waelewe unachowaza kichwani mana ni tifauti kabisa na ulicho andika...
Tena ukome kujiringanisha na wanaume.
Mwanamke anayejielewa thamani yake hawezi kukaa akashindana na mwanaume never ever na haijikutokea akashinda
Chupi tu kutengeneza kumewashinda hafu mwaji proud wanaume mfyuuuuu zenu. Mje na hoja za msingi tafadhaliHahahaha!!! Mkuu atakuuliza wewe umegundua nini,?
Acha kabisa,nitakutafuta mrembo.
Hili nalo tatizo lingine. Mwanaume anapokinzana na mwanamke mnamuona anafanya mashindano. Nilifikiri haya ni majadiliano tu na siyo vita ya kijinsia...Sijapaniki tuna jadili tu maana mie wanaume naokutana nao uelewa wao mpana huwezi kukuta wanataka mashindano na wanawake tofauti na wavulana wa humu.