Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Ilikuwaje hicho kitabu cha dini kikaandikwa na mwanaume!?

Kwanini kisingeandikwa na mwanamke? au binadamu wa jinsia nyingine(kama yupo)?

Kwanini na nyie wanawake mkakubali kuishi kwa kukifuata kitabu hicho ambacho kiliandikwa kwa ajili ya kuwakandamizeni?

Je wewe una dini?

Kwani sasa hivi ndio mmekuja kushtuka kwamba mmekuwa mkiishi kwa kufuata mfumo(dini) unaowakandamiza?

Ina maana siku zote hizo mlikuwa wajinga kiasi kwamba mlishindwa kabisa kutambua kuwa mko chini ya ukandamizi?
Na nni nini kinachokuaminisha kwamba siku za usoni ngie wanawake ndio mta rule hii dunia ?
Na ndiyo maana nilimwambia achague hayo maandiko na kutupilia mbali habari za usawa au achague usawa na kuacha hayo maandiko....
 
Pole kwa kuumizwa kimapenzi. maana ndo nnachokiona.
Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
 
Vijana watano na wanawake kumi wakipewa injini waipandishe vijana ndo watafanikiwa hilo unalinganishaje?
Yani wewe unalinganisha usawa wakupandisha engine Kwa dunia hii ya technology no need of using nguvu ya ugali kuna vifaa vya kunyanyua tu chap chap. Usawa hauangaliwi Kwa nguvu ya ugali zaidi ni kutumia akili kurahisisha maisha
 
Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
That's nature. Mke wangu lazima awe chini yangu. Mimi ndio mwenye mamlaka. We are equl but not the same.
 
Tatizo lenu mnatembea na wavulana mnasema ni wanaume

Ngoja wawanyooshe

Mtapiga kwata za kutosha tuu

Mwanaume halisi na mwanamke halisi hawafanyi huu ujinga unafanyika hapa
Si ndio tunawafikishia ujumbe wanaume wote maana Kwa jamii yetu wanaojielewa ni very few wasituchafulie jukwaa hili la ma great thinker na insecurities zao
 
Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
We usitake kutawaliwa kwani kakulazimisha mtu? By the way jitihada lazima ziwepo ili tuprove wrong with vivid examples. Endeleeni tu mafeminist.
 
Hyo kulingana na ufahamu wako
Kama wewe unavyoona anayemtawala mkewe basi ana shida kwenye manhood. Kuwa sawa haiwezekani hata mfanyeje. I repeat, you can't avoid nature, you can just control it.
 
Kwanini viandikwe na mwanaume?

Wanawake walikuwa wapi wakati wanaume wanaviandika!?

Kwanini wasingevisusia na badala yake wamekuwa wakiishi kwa kuvifuata kwa maelfu ya miaka?

Kwanini angalau hata wanawake wasingekomaa hili mwandishi wa vitabu hivyo awe neutral na pasionekane kuwa na ukandamizaji wowote?
Mkuu maswali yako mazuri sana na nafikiri jibu ni moja tu udhaifu wa wanawake katika kusimamia wanachokiamini ni sawa. Tatizo hawataki kukubali huo udhaifu...
 
Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
Dunia yote inaendeshwa na wanaume. Mjiimarishe mfike wapi. You are just dreaming. We omba wanaume wakuheshimu tu huku ukipewa haki zako. Hicho unachokiwaza hakipo.
 
Si kweli napinga huo utafiti hzo ni stereotypes tu za mwandishi na kwanini ili muonekane wanaume ni lazima mumu undermine mwanamke why?
Nionyeshe sehemu ambapo kuna "men empowerment" katika jamii yoyote, sehemu ambayo kuna "kama mwanamke anaweza, basi mwanaume anaweza pia", Innovations nyingi, go to moon and come back, ni akina Gagarin, Neil Armstrong na sio akina cariha, its just nature...you can do nothing to beat nature.

Kwenye maovu hapo no one is above the other, hakuna mwenye authority ya kutenda au kumtendea mwenzake uovu. But in terms of superiority, try another millennium, not this one!!!
 
Kufikiria jambo Kwa mapana zaidi Kwa kuangalia Kwa muktadha tofauti wa faida na hasara. In short ni Ku go beyond something. I think umenielewa.
Hivi kufikiri nje ya box ndio kuwa huru au ndio kufikiri nje ya mipaka ?

Embu lro nifunze juu ya kufikiri nje ya box,nfio kukoje na kuna vigezo gani ?
 
Rekebisha kauli hapo uliposema mwanaume anajitungia sheria zake na mwanamke anafuata sheria za mwanaume kwahiyo zile sheria za Mungu zimewekwa zifuatwe na kina nani??
Vyovyote iwavyo. Asili inaonyesha Mwanaume ndiye mtawala.

Jamii karibu zote duniani mwanaume ndiye mtawala.

Hivyo yeye ndiye hubuni sheria kulingana na vile atakavyoona yeye.

Hata mwanamke kupewa haki ni matokeo ya baadhi ya wanaume kuona ipo haja ya kuwapa haki hao wanawake.

Wanawake hawana uwezo wa kukaa pamoja na kuamua kupigania haki zao bila msaada wa mwanaume. Hiyo ni nature mkuu.

Huyo Marianah anajaribu kufanya jaribio lililofeli pale Edeni lililofanywa na Mama yetu Hawa au Eva.

Eva alitaka kumpindua Adamu kisiri ili afanane na Mungu. Kumbuka Adamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu wakati Eva au Hawa akiumbwa kwa Mfano wa Adamu.

Kama jinsi Wanadamu wanavyohangaika kuwa sawa na Mungu lakini inashindikana ndivyo wanawake wanavyojitahidi kuwa sawa na Mwanaume na inashindikana.

mwanamke atabaki kutawaliwa siku zote mpaka aingie kaburini kwenye huo usawa.
 
Yani wewe unalinganisha usawa wakupandisha engine Kwa dunia hii ya technology no need of using nguvu ya ugali kuna vifaa vya kunyanyua tu chap chap. Usawa hauangaliwi Kwa nguvu ya ugali zaidi ni kutumia akili kurahisisha maisha
Mbaya zaidi hizo teknolojia unazozizungumzia nyingi zimegunduliwa na wanaume...
 
Back
Top Bottom