Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Unazungumzia kusahaulika kwenye nini hasa? Maana inawezekana tunazungumzia nyanja tofauti..
Nyaja zote za kiuchumi, kijamii, ndo mana vijana wakiume hawana mbele wala nyuma, they have nothing to show
 
sasa hapo hapo unasema mtu anatumia biblia vibaya, hapohapo unasema biblia imepitwa na wakati kana kwamba sio tena swala la kutumia biblia vibaya ni swala la wakati.
anyway nimalizie tu kwa kusema tumekuwa programmed kubehave this way. sina la ziada hapo.
Usinilishe maneno sijasema biblia imepitwa na wakati stick to my content kutetea hoja huwa nashangaa mkibanwa na jambo mnakimbilia maandiko think outside the box ili mjadala uwe huru, maana wewe waweza kuwa msomaji na Mimi msomaji wa hyo bible na kila mtu akawa na mapokeo tofauti, ndio mijadala hii sipendi kuigiza dini ili kuwa na free mind. Uonevu hauhitaji biblia au misaafu aisee. Don't twist my word's to change the whole contents of my argument in here please.
 
hapohapo anaongezea kwa anasema biblia inawaonea.. basi tabu tupu.
Mi nafikiri angesimamia upande mmoja. Aidha usawa na kuyakataa hayo yanayoitwa maandiko matakatifu au kufuata hayo maandiko na kuachana na habari za usawa. Tatizo she wants to eat her cake and have it at the same time..
 
Usinilishe maneno sijasema biblia imepitwa na wakati stick to my content kutetea hoja huwa nashangaa mkibanwa na jambo mnakimbilia maandiko think outside the box ili mjadala uwe huru, maana wewe waweza kuwa msomaji na Mimi msomaji wa hyo bible na kila mtu akawa na mapokeo tofauti, ndio mijadala hii sipendi kuigiza dini ili kuwa na free mind. Uonevu hauhitaji biblia au misaafu aisee. Don't twist my word's to change the whole contents of my argument in here please.
Hivi kufikiri nje ya box ndio kuwa huru au ndio kufikiri nje ya mipaka ?

Embu lro nifunze juu ya kufikiri nje ya box,nfio kukoje na kuna vigezo gani ?
 
Kwahiyo wewe unaona hayo mambo yote kuwepo duniani ni sawa??


Ni sawa ndio.

Hata huko utakapoenda ndio hali halisi hii Mkuu.

Omba Mungu ukienda ulimwengu mwingine uwe tabaka tawala.

Hata Shetani aliwaza kama wewe. Aliona kila siku anapiga tizi kusujudu kwa Mungu akaona sio sawa. Akasahau yeye ni mtawaliwa.

Akaleta fyoko fyoko akatimuliwa.

Huyo Hawa aliona sio sawa awe vile alivyo akataka kuwa sawa na Mungu. Akasahau yeye ni mtawaliwa. Akaleta fyoko fyoko akiwa na mumewe akatimuliwa.

Hata wewe ukileta fyoko fyoko kwenye nyumba yako. Ukasahau wewe ni mtawaliwa unafukuzwa tuu.

hii ndio dunia. Kuna mambo huwezi yabadili hata ungefanya nini.

Hao wazungu walianza mambo unayofikiri karne ye 18 huko yaani miaka 1700 lakini mpaka leo hii hakuna lolote lililofanyika.

Najua fyoko fyoko zako zitaishia humu JF lakini ukizipeleka nyumbani mumeo atakutimua.Ili ujue maana ya Mtawala na mtawaliwa.

Ni hayo tuu.
 
Nyaja zote za kiuchumi, kijamii, ndo mana vijana wakiume hawana mbele wala nyuma, they have nothing to show
Hahaha!!! Mkuu ni vizuri ukawa na takwimu thabiti kusapoti hayo matamko yako. Au umeshafanya uchunguzi ukagundua vijana wote wa kike wana mbele na nyuma ?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ni kweli mkuu, lakini haya mambo yanaongelewa hata mitaani na siyo mitandaoni tu yaani inaonekana wanaume wako serious kabisa kulalamikia maovu ya wanawake utadhani wao ni watakatifu au labda wenzetu maovu yao yamepitishwa
Hata huko mitaani wanachangamsha magenge tuu. Hakuna aliye serious. Ndio maana wanaume hawaachi kufanya wanayoyafanya na nyie pia hamuachi.

Unforgetable
 
Kwa hiyo kuwa juu yetu, au kuwa mtawala ndio inawapa uhalali wa kufanya dhambi?
Au ndio mkifanya dhambi zinageuka kuwa "haki" huku zetu wanawake zinaonekana kinyaa?
Mambo?
Kumbe uzi ni wa kiimani?kama ndivyo dhambi zinamhusu atakae zifanya.
 
Ndo uhalisia namuache kulia lia huku kuhusu wanawake kama nyie ni wanaume kweli
Tatizo lenu mnatembea na wavulana mnasema ni wanaume

Ngoja wawanyooshe

Mtapiga kwata za kutosha tuu

Mwanaume halisi na mwanamke halisi hawafanyi huu ujinga unafanyika hapa
 
Hiyo ni perception yako ka Mimi ninavoamini utofauti wa mwanaume na mwanamke ni maumbile tu ya uzazi the rest wote ni sawa
Vijana watano na wanawake kumi wakipewa injini waipandishe vijana ndo watafanikiwa hilo unalinganishaje?
 
Hamhitaji vyama lakini ndo mnapuputika sana kuliko wanawake nyie mumesahaulika sana matokeo yake mumeshaanza kubaki nyuma mambo mengi, yani sikuhizi mumekuwa magoigoi, after 10 to 20 years mtaanza kulia lia it will be too late
Ukimuona mwanaume goigoi ujue ametokana na mama anaeshinda saloon badala ya kulea wanae
 
Hahahahhahahaha.... Third wave feminist Marianah hongera sana kwa bandiko zuri. Umepangilia vizuri kweli habari yako mpaka nimekutamani.

Tukija kwenye kiini cha mada yako:

Kwanza kabisa kubali kataa mwanaume ni kiumbe superior kwa mwanamke na itaendelea kuwa hivyo mpaka dunia inafika mwisho. Na hii iko kiimani na kibailojia pia.

Binafsi naamini kwenye suala la maovu machoni mwa mwenyezi Mungu wote tuko sawa maana hakuna jinsia yenye haki ya kutenda zambi.

Maana sheria za Mungu zinaeleweka wazi kabisa kila mtu kwa jinsia yake na nafasi yake ni namna gani anavyotakiwa kumtumikia Mungu wake kwa kuepuka utendaji wa dhambi.

Pamoja na kwamba maandiko yanasema mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe haimaanishi kwamba Mwanaume hawezi kuwa mpumbavu na akaivunja ndoa yake mwenyewe. Jukumu la kulinda ndoa ni la wote.

Pamoja na kwamba kwamba maandiko yanasema mwanamke anapaswa amtii na kumuheshimu mume wake haimaniishi kwamba Mwanaume huyo ana haki ya kutomuheshimu mke wake.

Maandiko yanaposema mwanamke mzinzi adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka umauti, haimaaniishi kwamba wanaume ni haki yao kufanya uzinzi na hawastahili adhabu.

Kwa ufupi tu tukiongelea uovu au nidhamu wote tuko sawa kwa Mungu japo kwa mitazamo ya walimwengu mwanamke anaonekana kuwa ndio mkosefu zaidi.

Kwa bahati mbaya sana jamii yetu ya sasa inaishi kwa kutofuata maandiko na hata yakifuatwa hayafuatwi kama yanavyopaswa.

Kwa kuwa maisha yetu asilimia kubwa hayafuati tena muongozo wa kidini basi ndio maana tunaishi kwa kutupiana Lawama huku kila mmoja akijiona yu mkamilifu.

Kilichopo sasa hivi kwenye athari za maovu tunayoyafanya uzito wake unaamuliwa na tofauti zetu za kibaiolojia, kwenye maovu ambayo tunashiriki wote mfano uzinzi athari zinakuwa kubwa kwa mwanamke kuiliko kwa mwanaume na ndio maana jamii inamuona yeye ndio mkosefu huku ikimsahau mwanaume.

Lakin yote kwa yote mwanamke ni kiumbe dhaifu kwa mwanaume na itaendelea kuwa hivyo haijalishi hata kama zitaundwa taasisi ngapi za kumpa preferential treatment hili awe sawa na mwanaume.
 
Back
Top Bottom