Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Hyo kuwa mabilionea wawili haina justification ya uonevu au kuonyesha a certain gender is superior ni big no usawa unaangaliwa Kwa equal chance ya kijamii.

Kuhusu pedi inayofonza damu mbona haihitaji akili ya la saba kutengeneza wengi tu wanatengeneza Mimi pia I can tena hizo sio recommended for health purpose bora kitambaa kisafi au kutengeza cotton ambayo hapa Kwa Tanzania haiko Kwa wingi.
Wow!! Nimependa sana mitazamo yako mwanadada.

Eti ni kwanini hapa Afrika tuna mabilionea wa kiwango cha dunia wawili tu wa kike wakati wa kiume wako 34?

Pia ni kwanini asilimia 98% ya technological innovation hapa duniani imefanywa na wanaume na sio wanawake ?

Pia Kwanini hiyo sanitary pad uliyoivaa inayofonza damu huko chini mgunduzi wake ni mwanaume na sio mwanamke?

Pia kwanini vitu kama epidural na contraceptive pills ambazo ni kwa ajili ya faida ya mwanamke vimevumbuliwa na mwanaume wala sio mwanamke mwenzenu?

Pia Kwanini ukitaka kujenga nyumba akili yako inakutuma umtafute Hassan, John au Isaya ndio anyanyue tofali na wala sio Esther, Aisha au Mariamu?

Pia kwanini gari yako ikipata mzinga ukienda gereji kuinyoosha lazima uwakute akina Deo, Michael na wala sio akina Joyce au Merry ndio wakunyoshee?

Pia kwanini unapotaka kuajiri mlinzi wa nyumba yako unaenda kuajiri akina Vidume na wala sio wanawake wenzio?

Pia kwanini kwenye matangazo mengi ya kazi huwa tunaona sana hii statement "women are highly encouraged" na sio "men are highly encouraged" ikiwa kama wote tuko sawa?

Pia kwanini kwenye ajari yoyote ile rescue team huwa wana focus kwanza na wanawake na watoto kisha ndio wanakuja wanaume?

....nina maswali mengi sana kufuatia hii kauli yako ngoja nipumzike kwanza
Kuhusu ugunduzi wa mambo mengi nayo hyo hoja haina mashiko maana tangu zamani wanawake hawakuruhusiwa kufanya mengi au kwenda shule so hyo haishangazi au kufanya eti mwanaume ndo wako ahead. Ingekuwa tangu enzi za kale wanawake wanapewa same platform ingekuwa sawa kulinganisha ila mabadiliko ya haki sawa yameanza juzi sio hyo sio hoja ya kujifanya wanaume ni genious hyo to me ni big no kabisa ni sawa na mlemavu kumshindanisha na mtu mzima Kwa mbio.

Pia wewe wasema wanaume superior and blah blah za hapa na pale zaidi ya ubishi wakutokujiamini JF umeachive nini Ku change hata jamii. Maana wanaume positive tumeona impacts zao na wana big brain to understand how about you.

Sijaweza kujibu hoja zako zote vile natumia simu na nimeku quote
 
Kabisa yaani kwenye hayo maswala wanajifanya hawayaoni maandiko
Tukifika mwanamke azae kwa uchungu mwanaume atafute kwa jasho maandiko hayahusiki
 
Hahahaha!!! Mkuu usipaniki tunajadiliana tu. Halafu usipende kuwa judgemental hasa kwa watu ambao huwajui vizuri. Unajuaje kama siwezi hata kutengeneza chupi?
Sijapaniki tuna jadili tu maana mie wanaume naokutana nao uelewa wao mpana huwezi kukuta wanataka mashindano na wanawake tofauti na wavulana wa humu.
 
Mahitaji makubwa ya mwanaume katika mahusiano ni se.x,na ni vigumu mwanamke mmoja kumtimizia mara zote pale mwanaume anapohitaji;ukiona watu wameishi kwenye uhusiano au ndoa miaka mingi na yenye utulivu jua ya kuwa mzee (me) kuna sehemu anapiga show kistaarabu.Kwa sasa hivi unaweza usiitambue ila ingia kwenye ndoa,na bahati mbaya ukutane na mtu ambaye nguvu zake bado kuchakachuliwa;utashangaa kila baada ya dakika 30 anataka,kwa hali hiyo kwako itakuwa ni mateso....kwa hiyo akichepuka nje inakuwa ni unafuu na utulivu ndani ya nyumba.
 
Safi sana,nakupa mfano mmoja tu ili unionyshe namna gani unaweza kufikiria nje ya box. Japo uko nje ya mada.

Hivi unaweza kufijiria nje ya box juu ya jambo la haki sawa na kufanana kwa haki ?
Hilo swala na haki sawa lazima ufikirie beyond sio huku wa Africa mnaamini kuonea mwanamke na kumfanyia uchafu ndo uanaume tu, na hamtaki kuheshimu wala kuwaruhusu wawe huru wakati ni binadamu. Mnabaki kukumbatia mambo ya kale ya zama za ujinga ka sikuhizi watu wanatumia magari instead of walking why still discriminating women's why?
Sasa hapo Mimi ndo naona watu hawafikirii nje ya box
 
Yani wewe unalinganisha usawa wakupandisha engine Kwa dunia hii ya technology no need of using nguvu ya ugali kuna vifaa vya kunyanyua tu chap chap. Usawa hauangaliwi Kwa nguvu ya ugali zaidi ni kutumia akili kurahisisha maisha
Ha ha haa unavyo rahisisha sasa kumbuka tu hata hivyo vifa vimetengenezwa pia
 
Mbona wewe kamongo hukuja na bandiko linalosema dhambi za wanawake ni tofauti na dhambi za wanaume...
Unapanic nini hebu tuliza kipapa we mchumba wangu usilazimishe watu waelewe unachowaza kichwani mana ni tifauti kabisa na ulicho andika...

Tena ukome kujiringanisha na wanaume.
Mwanamke anayejielewa thamani yake hawezi kukaa akashindana na mwanaume never ever na haijikutokea akashinda
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani aliyesema dhambi za wanawake na za wanaume ni tofauti?? Wewe ndiyo uliyesema hivyo kwahiyo niletee andiko kutete hoja yako usijifanye una matusi sana sie wengine matusi kwetu salamu hakuna jipya!!
 
Sijapaniki tuna jadili tu maana mie wanaume naokutana nao uelewa wao mpana huwezi kukuta wanataka mashindano na wanawake tofauti na wavulana wa humu.
Hili nalo tatizo lingine. Mwanaume anapokinzana na mwanamke mnamuona anafanya mashindano. Nilifikiri haya ni majadiliano tu na siyo vita ya kijinsia...
 
Hehehe! Halafu namna hii tusiwatawale?
Hapa ndipo tunapata viburi vya kuhalalisha UJINGA WETU. Japo haifai
Screenshot_20190915-151800~2.jpeg
 
Mtoa uzi umeandika vizuri lakini kitu kama point ya 8 hvi kama sijakosea, mwanaume kutongoza sio kosa hata kidogo, so ukitongozwa ukakubali ukatiwa mimba ukaachwa jilaumu mwenyewe kwa sababu kila kitu kipo mikononi mwako japo umeeleza huko juu lakini umevutia sana upande wenu, naseme ujilaumu kwa sababu ukisema hapana sidhani kama yule mwanaume atakubaka au atakulazimisha kama akifanya hivyo hio ni case nyingine hapo una haki ya kumlaumu, kifupi ni sawa na Mungu amekupa akili ya kujua mema na mabaya hivyo shetani akikushawishi ukatenda dhambi hapo hutakiwi kumlaumu shetani sababu Mungu ameshakupa akili ya kung'amua mambo kitu ambacho ulitakiwa kufanya ni kuipekecha hio akili then ujiamulie mwenyewe.

Pili kwenye issue ya kuuza na kununua uchi why uwalaumu wanaume instead ya kuwalaumu wanaouza, kama wanawake wasingekua wanajiuza nina uhakika 100% wanaume wasingekua wana wanunua, na sababu ya kujiuza ni kwamba wanapenda short cut ya kupata pesa, sasa hapo ukimlaumu mwanaume huoni kua unamuonea bure, sitetei wala sisemi kua ni jambo nzurii hapana point yangu ni kwamba angalia source ya tatizo inatoka au inaanzia wapi
 
Back
Top Bottom